Kura za rais Kenya kutangazwa vituoni

hiyo ni nzuri lakini pia hata watu huru waruhusiwe kukusanya matokeo na kujumlisha. kile kikundi cha lowasa kilichokusanya na kujumlisha matokeo kilionewa sana kwa kweli.
 
Kenyans are serious katika mambo mengi..

Hongera nyingi sana kwao.

Hapa na huyu Kaimu Jaji Mkuu ambae hajui hatima yake I doubt kama Mahakama zetu zinaweza kufanya jambo kubwa kama hili.
 
Kenya ustaarabu mtupu.Zanzibar uhuni tuu wa CCM. Maalim oyee! CUF Zanzibar oyee.
 
Kenyans are serious katika mambo mengi..

Hongera nyingi sana kwao.

Hapa na huyu Kaimu Jaji Mkuu ambae hajui hatima yake I doubt kama Mahakama zetu zinaweza kufanya jambo kubwa kama hili.
tusimuonee hakimu au jaji suala ni katiba inasemaje au sheria inasemaje?
 
Yes, alitaka kuiba, unaogopa nini kutangaza kituoni? Unaogopa nini mikutano ya siasa, unaogopa nini watu kukukosoa? Unaogopa nini watu wakisema? (kama hawasemi uongo)

Imeandikwa wapi kisheria!?

Na hao unahuakika gani hawakutunga yao!?

Mkitaka sijui hili au lile kwa sasa teknolojia tu ndio itakuwa mkombzi wa kutoa ukweli wa mengi kama ambavyo ingetumika 2015... ingeonyesha JPM alikuwa chaguo la wengi bila wasiwasi.
 
Kichaa huwa hakipigi hodi.
 
hiyo ni nzuri lakini pia hata watu huru waruhusiwe kukusanya matokeo na kujumlisha. kile kikundi cha lowasa kilichokusanya na kujumlisha matokeo kilionewa sana kwa kweli.

Vyama vimeruhusiwa tayari kukusanya na kujumuisha matokeo yao, kila hawaruhusiwi ni kuyatangaza moja kwa moja, lakini wamepewa ruhusa ya kukusanya na kukokotoa mahesabu yao halafu hatimaye wanatulia nayo wakisubiri yale ya tume.
 
Mahakama ya rufaa Kenya Leo imeamua kuwa kura za rais ni lazima zitangazwe vituoni kama katiba yao inavyoelekeza. Katiba yetu nayo iwekewe ibara hiyo.
Hii ikifika hapa kwetu itakomesha ule uchakachuaji wa Tume ya Uchaguzi na watumishi wake ambao kimsingi ni makada wa chama dola. Nadhani vyombo vya habari vitaruhusiwa kutangaza matokeo ya uchaguzi toka vituoni kadiri yatakavyotangazwa na wasimamizi wa vituo hivyo.
 
Wapinzani nchini Kenya wamepata ushindi mkuu mahakamani leo.
Mahakama ya Rufaa imekubali ombi lao kwamba kituo kikuu cha taifa cha majumlisho ya (National Tallying Centre) hakina msingi wa kisheria na kukipiga marufuku.
Kuanzia uchaguzi wa mwaka huu matokeo yote pamoja na ya urais- yanayotangazwa vituoni ndiyo final.
 
Back
Top Bottom