Kura za maoni za CCM wengi walikula bila kunawa

mchanga mchanga

Senior Member
Jun 13, 2017
115
82
Katika upigaji wa kura za maoni za kuchagua viongozi wa serekali za mitaa na wajumbe kupitia chama cha mapinduzi,wengi wa wapiga kura hawakuwa wanachama na wala hawakuwemo kwenye mareja ya wanachama.

Lakini walipiga kura hii ni sawa na kula chakula bila kunawa .Nadhani athari zake wote twazijua.
 
Back
Top Bottom