Kura za maoni Voice of America (VoA) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kura za maoni Voice of America (VoA)

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by George Maige Nhigula Jr., Oct 12, 2010.

 1. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #1
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
 2. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,503
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Mpe hiyo link Luteni aziweke kwenye Poll of Polls. Hakika mwaka huu.......................................Mmhhhhhhhhhhhhhh!!!!!! Labda waje la RDET 20 ili kuchakachua.
   
 3. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Luteni kamata hiyo, jumuisha kwenye avaraging zako!!!!!
   
 4. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280

  Nakubaliana na matokeo haya, na ndicho ninacho wahubiria wana CHADEMA kila siku, ila swali ni hii pekee inatosha? vipi uwasilishaji wake?. Kama hili lisipoangaliwa tutabaki na ujumbe mzuri hadi hapo wananchi watakapo uelewa.
   
 5. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
 6. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,371
  Likes Received: 19,591
  Trophy Points: 280
  Nini Maoni yako kuhusu jinsi kampeni zinavyoendelea

  Kuna malumbano mengi
  [​IMG] 10%
  Hakuna ujumbe au mpango unaoniridhisha.
  [​IMG] 3%
  Chama tawala kina ujumbe mzuri.
  [​IMG] 6%
  Upinzani una ujumbe mzuri.
  [​IMG] 79%
   
 8. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,302
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  BBC Swahili nao wanajiandaa kuleta kura za maoni kuhusu uchaguzi wetu.Nitawajulisha wakianza
   
 9. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  kila mtu anajua kuwa tar 2 novembaer ni mazishi ya ccm.

  jamani wote tuwepo, tusisahau ''vitambaa vyeupe''
   
 10. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  na maua, kwa ajili ya kulipamba kaburi la ccm
   
 11. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  naona moshi mweupe unanukia kwa Dr Slaa.
   
 12. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,861
  Likes Received: 2,786
  Trophy Points: 280
  Have you asked such question to Synovate?
   
 13. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 417,643
  Trophy Points: 280
  Jamani si JK asalimu amri na yaishe badala ya kurefusha mapana yenye ncha kali?
   
 14. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Nami nimepiga kura pia
   
 15. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  voiced of amerca haisililizwi hata na 1% of watanzania
   
 16. n

  nndondo JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Hivi mmeshajiuliza hawa synovate waliosema hawakuwahi kufanya utafiti wa nani anafanya vizuri kwenye kampeni wiki mbili tu zilizopita leo haya matokeo waliyatoa wapi? je hakuna uwezekano wa kuwashitaki na huyo mkurugenzi nyang'au tukamrudisha kwao walikozoea kukatana mapanga kabla ya october 31? hawa ndio watakaotuletea matatizo kwa nini tunampa nafasi ya kuendelea kupeta nchini kwetu? au kwa sababu wanawachakachulia chama tawala? naombe expeditiously wenye solution kama iliyowaondoa wakina Waweru wa mwananchi 2005 ifanyike haraka iwezekanavyo, nchi ni yetu watu ni wetu, hatutatumia mapanga kama wao ila tutatumia sheria, tunaomba wanasheria wa CUF na CHADEMA washirikine mara moja
   
 17. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  bila kusahau mishumaaa
   
 18. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Lete evidence. Nadhani inasikilizwa na ziadi ya Watanzania elfu 2 waliopiga kura za Redirty na Sy-No Vote maana RFA FM na Medium wanarusha matangazo ya VOA. Mimi nimeanza kuisikiliza VOA kabla ya hizi FM hazijaanza kurusha matangazo yao; na kwa taarifa yako sehemu ambazo zilikuwa hazifikiwi na RTD enzi hizo walikuwa wanasikiza zaidi Ujerumani, VOA na BBC.
   
 19. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #19
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0


  Inabidi hizi polls zisimamishwe kwa sababu naona JK atakufa kwa presha.
   
 20. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #20
  Oct 13, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Kwani synovate ilifikia percent ngapi ya watanzania
   
Loading...