Uchaguzi 2020 Kura za maoni UWT ya CCM watia nia ni 252 na wapiga kura ni 263

Uchaguzi wa wabunge wa viti maalumu CCM unaendelea katika mikoa mbalimbali na hapa DSM jumla ya akina mama 252 wametia nia na wajumbe wa mkutano wa uchaguzi ni 263.

Maendeleo hayana vyama!
Wangekuwa wanaruhusiwa kupiga kura na wao wote inamaana hapo mshindi angepata kura mbili.
 
Kwani Bashiru ataacha kumpaka ubunge wa viti maalum Paulina Gekul?
Ama Jiwe atamtosa Angela Kairuki?

Bora kumsitiri mkeo na dada yako ubunge wa bure, kuliko kimada wako tena mke wa mtu.
Kairuki huko upareni hajapita kwenye Jimbo?
 
Wangekuwa wanaruhusiwa kupiga kura na wao wote inamaana hapo mshindi angepata kura mbili.
Mkuu hesabu ya wapi hii ? Wajumbe 263 + wagombea 252; kwahio kama wagombea wangepiga bado wangezigawana zile 263, hence kila mtu angepata moja plus zozote za kupigiwa... inawezekana mmoja angepata 264 na wengine wote moja, moja...
 
Back
Top Bottom