Kura za maoni halisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kura za maoni halisi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jatropha, Oct 13, 2010.

 1. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  jumamosi tarehe 09 oktoba 2010 rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania na ambaye pia ndiye mgombea urais wa ccm mhe jakaya kikwete alikuwa mgeni rasmi katika mechi a mpira wa miguu kati ya tanzania na morocco kuwania kufuzu fainali za kombe la matiafa ya afrika.

  Siku chache kabla ya kuhudhuria mtanange huo, asasi za kitafiti zilikuwa zimetoa maatokeo ya kura za maoni yanaoyoonyesha kuwa mgombea huyo anaongoza kwa mbali dhidi ya wgombea uraisi wengine. Asasi a redet ilikadiria umaarufu na ushindi wa mhe jakaya kikwete wa ccm kufikia 75% ya kura zitakazopigwa; wakati matokeo ya asasi ya synovate yanaonyesha kuwa umaarufu na ushindi wa wake utafikia 61%.

  Matokeo ya asasi hizo mbili yameendelea kupingwa na watu kutoka makundi mbali mbali ikiwemo wasomi kutoka vyuo vikuu mbali mbali, wanaharakati, asasi zisizo za kiserikali na hata wanasiasa wenyewe.

  Asasi hizo mbili zilihoji watu kati ya 2000 na 3000 tu, na kutoa matokeo hayo.

  Habari kutoka uwanja wa taifa mechi hiyo ilikofanyika zinaonyesha kuwa mgombea huyo hakupata mapokezi yaliyotarajiwa na ccm kutoka kwa wapenzi wa soka waliofurika uwanjani hapo kama ambavyo imekuwa ni kawaida yake.

  Kutokana na mapokezi hafifu, wapiga kampeni wa cccm wakafanya mipango kuweka sura ya mgombea huyo kujaa katika screen kubwa iliyopo hapo uwanjani, jambo ambalo liliwakera sana wapenzi wa soka na kuanza kuzomea. Habari zinzonyesha kuwa wapenzi waliokuwa jirani na jukwa la wageni rasmi walisimama kabisa kupingi vitendo hivyo.

  Utafiti wangu umebainisha kuwa wapenzi wengi wa soka wamekerwa sana na vitendo vya mgombea huyo kuwasafisha watuhumiwa mbali mbali wa ufisadi wakiwemo mramba, lowassa, chenge, rostama n.k na hilo ndilo lililokuwa gumzo kubwa hapo uwanjani.

  Naomba walioshuhudia mambo hayo huko taifa watuhabarishe, na hizi ndizo kura za maoni halisi, zemye kuhusisha watu zaidi ya 30,000
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Wenyewe wanajua mambo tight nod maana anahangaika sana
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mbona hiyo inafahamika, Wenyewe wanajua hayo!
   
 4. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2010
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,978
  Likes Received: 20,365
  Trophy Points: 280
  Hata vipeperushi walivyogawa kwa kusaidiwa na tff havikuwa na maana yoyote kwa wapiga kura waliojazana kiwanjani kuona mabadiliko
   
 5. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  naomba aliyekuwepo hapo uwanjani atupatie live account ya matukio ya siku hiyo anavyoyakumbuka kama mgombea huyo alionekana kukubalika mbele ya wapiga kura waliokuwepo hapo zaidi ya 30,000 kama mabavyo ccm anataka watanzania kuamini mgombea wao anakubalika sana.
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  JK hana sera tena jamani.

  Alichobakiza sasa ni kuratibu majungu na fitina za kuita watu shetani. nyoka na matusi mengine.

  Lakini hali halisi, yeye na CCM yake ndiyo nyoka na mashetani halisi.

  Anacheka-cheka lakini ana roho mbaya kama nini!
   
 7. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hali halisi ni kwamba, JK hakubaliki kiasi kasi ya 61% mpaka 71%,huu ni uzushi tu,watakachofanya ni kutumia mabavu kuiba kura na kujitangazia ushindi.
   
 8. g

  guta Senior Member

  #8
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  yap alipokuwa akiwekwa Kikwete mashabiki walikuwa wanapiga kelele za kilimo kwanzaa!!! lakini wakitoa na kuweka wachezaji wa moroko walikuwa wanashangia mpira kwanza.
   
 9. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  JK akichekacheka namfananisha na nyoka aina ya swira wakati huyo nyoka kaiinua kichwa chake na kutoa ulimi wake. Kwa asiejua atadhani sio hatari kumbe ni mwenye sumu kali.
   
Loading...