KURA YANGU URAIS TZ 2015, ntampigia HUYU HAPA

NYAMKANG'ILI

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
223
112
Najua mnataka niseme ntampigia:
MEMBE

SLAA

ZITTO

LOWASSA

MIGIRO

MBOWE

WASSIRA NK

Hapana. Kura ntampatia mgombea yeyote na wa chama chochote atakaye ahidi kunihakikishia yafuatayo:
(1) MAKAZI BORA, SIKUBALI KUENDELEA KUISHI KWENYE TEMBE

(2) AJIRA

(3) ELIMU BORA KWA WANANGU

(4) HUDUMA BORA ZA AFYA

(5) KUTOKOMEZA RUSHWA NA UFISADI

(6) KUHAKIKISHA HAKI KWA KILA MMOJA

(7) ATAKAYEACHA KUBEMBELEZA WAZENJ KUKAA KWENYE MUUNGANO, WAENDE WAKITAKA

(8) ATAKAYEUNDA "INDEPENDENT POLICE COMPLAINTS COMMISSION"
 
Well said
 
Weka poll ili tupige kabisa Mkuu, utapata jibu haraka sana la Rais na makamu wake!! Tehe Tehe!!
 
Ayi Kwei Arma alinena. "Beautiful Ones are not yet Born."Hata walioko madarakani waliahidi kutekeleza hayo.
 
Hayo mbona utayasikia hata kwa Dovutwa. Swala kubwa ni yule aliyeonyesha uwezo na ukweli wa kuyafanya hayo. Naye tutampata kutoka kwenye kundi la wanasiasa waliopo sasa hivi na wala hatatoka mbinguni.
 
Najua mnataka niseme ntampigia:
MEMBE

SLAA

ZITTO

LOWASSA

MIGIRO

MBOWE

WASSIRA NK

Hapana. Kura ntampatia mgombea yeyote na wa chama chochote atakaye ahidi kunihakikishia yafuatayo:
(1) MAKAZI BORA, SIKUBALI KUENDELEA KUISHI KWENYE TEMBE

(2) AJIRA

(3) ELIMU BORA KWA WANANGU

(4) HUDUMA BORA ZA AFYA

(5) KUTOKOMEZA RUSHWA NA UFISADI

(6) KUHAKIKISHA HAKI KWA KILA MMOJA

(7) ATAKAYEACHA KUBEMBELEZA WAZENJ KUKAA KWENYE MUUNGANO, WAENDE WAKITAKA

(8) ATAKAYEUNDA "INDEPENDENT POLICE COMPLAINTS COMMISSION"

SASA SI UNGESEMA TUH YA KWAMBA UNAMPA PROFESSOR IBRAHIM LIPUMBA??
:laugh:
 
Angalau sasa tunaanza kujadili issues badala ya personalities ingawa sidhani kama itachukua muda mrefu kabla ya uzi huu kuvamiwa na wajenga hoja wa personalities na kupenyeza majina yao humu kama ndio yenye hati miliki ya nchi yetu; Kazi nzuri NYAMKANG'ILI;
 
Lakini hata wewe unajua kwamba majority wataangalia personality when the time come, watu mnaoangalia issues ni wachache sana hamfiki hata laki moja nchi nzima, do you think DR IS STUPID WHEN HE FOCUS ON THE PERSONALITY OF HIS OPPONENTS, HE VERY WELL KNOW THERE IS A HUGE MARKET FOR THAT. THAT IS IT.
 
Weka poll ili tupige kabisa Mkuu, utapata jibu haraka sana la Rais na makamu wake!! Tehe Tehe!!

Lakini iwapo uzi huu ungekuwa unajadili PERSONALITIES fulani fulani ndio zinafaa, hakika mjadala ungefana, lakini kwa sababu unajadili ISSUES tunazotarajia wateule waje kuzifanyia kazi kama njia ya kutatua matatizo ya wananchi, wengi hawaupi mjadala huu uzito unaotakiwa; Lakini ni hawa hawa wenye hoja za personalities ndio wapo mstari wa mbele kusakama viongozi wasiofaa kwa hoja kwamba kuna masuala hawasimamii vizuri; sasa kwanini mnanunulika kuwaunga mkono kama hamjui watakuja kusimamia masuala yepi?
 
Angalau sasa tunaanza kujadili issues badala ya personalities ingawa sidhani kama itachukua muda mrefu kabla ya uzi huu kuvamiwa na wajenga hoja wa personalities na kupenyeza majina yao humu kama ndio yenye hati miliki ya nchi yetu; Kazi nzuri NYAMKANG'ILI;
Mchambuzi,

. NYAMKANG'ILI is not talking about issues.

..he is openly campaigning for Dr.Wilbroad Slaa.

..hakuna mgombea anayeweza kuyafanya hayo but Dr.Slaa.
 
Last edited by a moderator:
Hayo mbona utayasikia hata kwa Dovutwa. Swala kubwa ni yule aliyeonyesha uwezo na ukweli wa kuyafanya hayo. Naye tutampata kutoka kwenye kundi la wanasiasa waliopo sasa hivi na wala hatatoka mbinguni.

na hilo linawezekana tukiacha tabia ya kupenda utamu wa hoja
 
Lakini hata wewe unajua kwamba majority wataangalia personality when the time come, watu mnaoangalia issues ni wachache sana hamfiki hata laki moja nchi nzima, do not DR IS STUPID WHEN HE FOCUS ON THE PERSONALITY OF HIS OPPONENTS, HE VERY WELL KNOW THERE IS A HUGE MARKET FOR THAT. THAT IS IT.

hapa unamjadili Dr. Slaa, right? nadhani naelewa msingi wa hoja yako; Ningependa kukuuliza swali - Je, ipi ndio njia sahihi ya kuwakomboa Watanzania, kuwaambia ukweli kama Mtikila?
 
Angalau sasa tunaanza kujadili issues badala ya personalities ingawa sidhani kama itachukua muda mrefu kabla ya uzi huu kuvamiwa na wajenga hoja wa personalities na kupenyeza majina yao humu kama ndio yenye hati miliki ya nchi yetu; Kazi nzuri NYAMKANG'ILI;

Hapa sasa ndio naona uhalisia wa GT na maana halisi ya GT.
Kudos Nyamkang'ili
 
Back
Top Bottom