Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
Lakini hata wewe unajua kwamba majority wataangalia personality when the time come, watu mnaoangalia issues ni wachache sana hamfiki hata laki moja nchi nzima, do not DR IS STUPID WHEN HE FOCUS ON THE PERSONALITY OF HIS OPPONENTS, HE VERY WELL KNOW THERE IS A HUGE MARKET FOR THAT. THAT IS IT.
Hata hizo issue zikiangaliwa wanasiasa wetu wote ni waongo! Wataongopa kama wimbo wa prof. J lakini mwisho wa siku ni kujineemesha wao, familia zao, marafiki zao na wapambe wao. wengine tutaishia kukumbuka issues na kunyong'onyea tu.