Kura yangu ni asilimia 100% kwa Tundu Lissu

Watanzania kwa 87% wakiongozwa na watumishi wa umma ambao wengi wametenganishwa na wake zao kwa kusombwa kwa nguvu kwenda Dodoma wamejiapiza kwamba kura zao ni kwa Lissu The Greatest
Acha kusemea nafsi za watu. Mojawapo ya kiapo cha mtumishi ni kufanya kazi sehemu yoyote atakayoamuliwa na mwajili wake kufanya kazi.

Mna hoja nyepesi sana. Lete hoja za kichocheo cha maendeleo na siyo hoja chonganishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie 2025 angejarbu ingeweka tija walau 13.5%,lakini sasa hata mtoto wangu aged 3.5 years anajua rais Ni JPM,Kama Ni kuweka record🤛,cdm mbona naona Kama hamjipangi mapema😳😱😭,yaleyale ya 2015 kutuwekea mtu speech ya ufunguzi dkk3,havai sare zenu🤭,mkamtoa chiriku ambaye angeweza kumiliki jukwaa🤫🤫🤫,kiongozi anajengwa walau mbunge wa kilombero amejua awashikaje wananchi siku hizi anapost msingi wa nyumba kwa tofali za kuchoma kuonesha juhudi kwa wapiga Kura wake, siku hizi siasa Ni hasa(commitment)na sio SI hasa,igeni kwa jpm the transformation man🤫🤓🤪🙉,kazi ya kiongozi Ni kuoneaha njia hongera JPM kuonesha njia kwa vitendo umeonesha kuwa wewe Ni gwiji la siasa za vitendo sio porojo Wala urojo umetufundisha kazi ndio msingi wa maisha ya binadam kwa vitendo,sio matusi Wala ulaghai wa wananchi wako,umetuwleza bayana na hukuwa mchoyo kwenye hili🤗🤗😜😜🕊️
 
Acha kusemea nafsi za watu. Mojawapo ya kiapo cha mtumishi ni kufanya kazi sehemu yoyote atakayoamuliwa na mwajili wake kufanya kazi.

Mna hoja nyepesi sana. Lete hoja za kichocheo cha maendeleo na siyo hoja chonganishi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama bunge limepuuzwa ( maana haikuwahi kutengwa bajeti ya kuhamia dodoma ) unadhani mimi nitaheshimiwa ?

Halafu kingine ni hiki , sisi tuko mitaani , tunayoyaandika ndiyo tunayoyaona
 
Na elimu bure
Mie hapa nimenuna wewe je? sasa nitufanyaje!
Opera Snapshot_2020-01-14_163457_www.jamiiforums.com.png
Opera Snapshot_2020-01-14_163457_www.jamiiforums.com.png
 
Back
Top Bottom