goggles
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,417
- 2,356
Acha kusemea nafsi za watu. Mojawapo ya kiapo cha mtumishi ni kufanya kazi sehemu yoyote atakayoamuliwa na mwajili wake kufanya kazi.Watanzania kwa 87% wakiongozwa na watumishi wa umma ambao wengi wametenganishwa na wake zao kwa kusombwa kwa nguvu kwenda Dodoma wamejiapiza kwamba kura zao ni kwa Lissu The Greatest
Mna hoja nyepesi sana. Lete hoja za kichocheo cha maendeleo na siyo hoja chonganishi
Sent using Jamii Forums mobile app