Kura yangu ni asilimia 100% kwa Tundu Lissu

goggles

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Messages
1,770
Points
2,000

goggles

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2017
1,770 2,000
Watanzania kwa 87% wakiongozwa na watumishi wa umma ambao wengi wametenganishwa na wake zao kwa kusombwa kwa nguvu kwenda Dodoma wamejiapiza kwamba kura zao ni kwa Lissu The Greatest
Acha kusemea nafsi za watu. Mojawapo ya kiapo cha mtumishi ni kufanya kazi sehemu yoyote atakayoamuliwa na mwajili wake kufanya kazi.

Mna hoja nyepesi sana. Lete hoja za kichocheo cha maendeleo na siyo hoja chonganishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Chereko tena

Senior Member
Joined
Dec 9, 2019
Messages
106
Points
225

Chereko tena

Senior Member
Joined Dec 9, 2019
106 225
Mwambie 2025 angejarbu ingeweka tija walau 13.5%,lakini sasa hata mtoto wangu aged 3.5 years anajua rais Ni JPM,Kama Ni kuweka record🤛,cdm mbona naona Kama hamjipangi mapema😳😱😭,yaleyale ya 2015 kutuwekea mtu speech ya ufunguzi dkk3,havai sare zenu🤭,mkamtoa chiriku ambaye angeweza kumiliki jukwaa🤫🤫🤫,kiongozi anajengwa walau mbunge wa kilombero amejua awashikaje wananchi siku hizi anapost msingi wa nyumba kwa tofali za kuchoma kuonesha juhudi kwa wapiga Kura wake, siku hizi siasa Ni hasa(commitment)na sio SI hasa,igeni kwa jpm the transformation man🤫🤓🤪🙉,kazi ya kiongozi Ni kuoneaha njia hongera JPM kuonesha njia kwa vitendo umeonesha kuwa wewe Ni gwiji la siasa za vitendo sio porojo Wala urojo umetufundisha kazi ndio msingi wa maisha ya binadam kwa vitendo,sio matusi Wala ulaghai wa wananchi wako,umetuwleza bayana na hukuwa mchoyo kwenye hili🤗🤗😜😜🕊
 

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Messages
1,377
Points
2,000

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2019
1,377 2,000
Ujue wazi sky tunakupenda sana! kuliko unavo dhani, naamini tutaonana One day, lkn huu mpango unaokuja nao, utanifanya nianze kuomboleza mapema, sababu naweza nisikuone tena,

wasiojulikana wako kazini wanakujua vizuri.nimeshangaa, gata nilivotoa thread zangu nikiwa NZ walijua, chonde chonde!
 

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
67,116
Points
2,000

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
67,116 2,000
Acha kusemea nafsi za watu. Mojawapo ya kiapo cha mtumishi ni kufanya kazi sehemu yoyote atakayoamuliwa na mwajili wake kufanya kazi.

Mna hoja nyepesi sana. Lete hoja za kichocheo cha maendeleo na siyo hoja chonganishi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama bunge limepuuzwa ( maana haikuwahi kutengwa bajeti ya kuhamia dodoma ) unadhani mimi nitaheshimiwa ?

Halafu kingine ni hiki , sisi tuko mitaani , tunayoyaandika ndiyo tunayoyaona
 

Forum statistics

Threads 1,379,783
Members 525,565
Posts 33,756,386
Top