Kura yako muhimu:Kati ya Alikiba na Marombosso nani mkali?

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,276
6,585
1544460469428.png



1544460581265.png
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hebu acheni kutumia kiki ya kumshindanisha jamaa ili mumuinue, mlianza na Diamond kisa yupo juu.

Aslay naye alipoanza kupanda juu, mkaamua mumshindanishe naye.

Mbosso naye kaanza kueleweka mmeona mumshindanishe ilimradi apondwe na kuanza kufifia.

Hii siyo tabia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom