Kura ya ndio au hapana majimboni ni muhimu sana-tume amkeni usingizini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kura ya ndio au hapana majimboni ni muhimu sana-tume amkeni usingizini

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mkombozi, Oct 5, 2010.

 1. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wakuu, mi nilikua nawaza sana kuhusu wagombea ubunge kupita bila kupingwa. Sasa je wakienda bungeni wanawawakilisha CCM au wananchI wote wa majibo husika. Kwa nini tume ya uchaguzi isifikirie nje ya box, ili katika majimboi ambayo wabunge wamepita bila kupingwa wananchi wawapigie kura ya ndio au hapana. Atakayepata chini ya 50% (ndio) huyo awe hafai kuwakilisha jimbo. Swala la kuacha baadhi ya wabunge wapite bila kupingwa sii democrasia hata kidogo. Huenda umetumika mchezo wa umasikini wa watu au ubabe kama ilivyokua Nyamagana ili kupita bila jasho. Tume kama mko makini bado mna nafasi ya kuweka hayo marekebisho.
   
Loading...