kura ya mrema ya urais itaenda wapi mwaka huu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kura ya mrema ya urais itaenda wapi mwaka huu?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Akili Kichwani, Jul 26, 2010.

 1. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kwa tathmini nyepesi ya yanayojiri kichwani mwa mh. augustine mrema ambaye ni mwenyekiti wa TLP, mnadhani ya urais wa JMT atampigia nani mwaka huu, JK (CCM), DR slaa (CHADEMA) au mutamwega mugahywa (TLP)?
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Akili mu Kichwa,
  Kwa jinsi alivyokuwa anamfagilia mgombea wa CCM kura ya Mrema tayari inajulikana itakwenda kwa nani.
   
 3. minda

  minda JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  jibu analo mrema mwenyewe
   
 4. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  kwa jinsi anavyojikomba kwa kiwete lazima atampigia kiwete bin vasco dagama ......! rais anaeua uchumi wa nji hii..!
   
 5. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  na wale waliowahi kumpigia mrema wa nafasi ya uraisi kura zao zitakwenda wapi?
   
Loading...