Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

Ni nani ungependa agombee urais mwaka 2015 kwa tiketi ya CCM?

  • Bernard Membe

    Votes: 70 15.3%
  • Edward Lowassa

    Votes: 189 41.4%
  • None of them (Labda mwingine)

    Votes: 198 43.3%

  • Total voters
    457
  • Poll closed .

Kuchasoni Kuchawangu

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
603
340
Wadau nawakilisha hili suala ili kupata kura za maoni za viongozi hawa ndani ya chama cha CCM.

Toa hoja na mawazo yako na upige kura pia kuona nani anafaa kati ya wawili. Zingatieni kuwa hatushindanishi na viongozi wengine ambao kila mmoja amekumbatia moyoni kuwa anafaa. Haijalishi wewe ni Chadema au CCM inachojalisha ni unaona yupi bora kati ya hawa wawili. Kuwa hata kama wote ni devils who is the lesser devil kati ya wawili?

Ni yupi unaona atafaa ama niseme nani angalau anatia matumaini kuwa walau anafaa kuteuliwa kuweza kuongea nafasi ya Urais kwa tiketi ya CCM kwa mwaka 2015?

Ni vema ukimataja utowe walau sababu zako ambazo unaona ni msingi wa maamuzi yako. Wadau hasira na pumba naomba ziachwe nje ya hii thread na tuweze kupata jibu thabiti.

Nawasilisha.
 
Bernard Membe anafaa sababu ni lesser of the devil, kama ulivyosema mwenyewe tunaweza chagua lesser of the two. Hope hio ni reason tosha kujustify uchaguzi wa yupi walau anafaa.
 
Mkuu mbona nikivote inagoma?
Wadau nawakilisha hili suala ili kupata kura za maoni za viongozi hawa ndani ya chama cha CCM.

Toa hoja na mawazo yako na upige kura pia kuona nani anafaa kati ya wawili. Zingatieni kuwa hatushindanishi na viongozi wengine ambao kila mmoja amekumbatia moyoni kuwa anafaa. Haijalishi wewe ni Chadema au CCM inachojalisha ni unaona yupi bora kati ya hawa wawili. Kuwa hata kama wote ni devils who is the lesser devil kati ya wawili?

Ni yupi unaona atafaa ama niseme nani angalau anatia matumaini kuwa walau anafaa kuteuliwa kuweza kuongea nafasi ya Urais kwa tiketi ya CCM kwa mwaka 2015?

Ni vema ukimataja utowe walau sababu zako ambazo unaona ni msingi wa maamuzi yako. Wadau hasira na pumba naomba ziachwe nje ya hii thread na tuweze kupata jibu thabiti.

Nawasilisha.
 
Demokrasia ya wapi hii,kwa nn nilazimishwe kuchagua shetani mzuri,kwangu mm once satan always satan,plz naomba kibox cha non of the above.
 
Kwa maslah ya Taifa hamuna kiongoz yoyote wa ccm anayefaa kuongoza tena taifa hili wote ni wale wale.Mgombea yoyote atakayeteuliwa na CDM NDIYE CHAGUO KWA MASLAH YA TAIFA
 
Lowasa ni fisadi mkuu, ana kashfa nyingi zinazomzunguka, huyu jamaa hafai kabisa kuwa kiongoz wa nchi. kwa upande wa Membe mi sijasikia kashfa yoyote toka kwake na pia simjui kiundani zaidi, huyu angalau ana nafuu kidogo.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom