Tumeona msimamo wa CHADEMA,kama ACT inataka ikimbiwe na wananchi na kuachwa peke yao basi wakubali watabakia kama walivyombakisha Lipumba.
Humo humo ndani ya ACT kuna viongozi wakuu watajiunga na CHADEMA.
Maalim asikubali kabisa kuingia kwenye mtego wa CCM ajue huko ni kumfarakisha yeye ,wenziwe kwa wananchi walio wengi,walioumia,waliopigwa walioondokewa na wapendwa wao.
Mtego huu umekalia vibaya sana kuliko mitego yote,CCM hawana ukweli zaidi ya kukuondoeni kwenye reli ili yao mambo yanyooke na kuwanyookea, yakiwaacha nyinyi mkijipapatua na wananchi mkibezwa na mwisho wake kuzomewa.
CCM wameshazoea wanakwiba kisha wanawaita watu waili watatu waliowaibia kwenye umoja. mara hii ACT kuweni wananume wenye kujiamini msicheze na hisia za watu waliowapa imani zenu,nyinyi nendeni kimataifa kuulani uchaguzi ,msihadaliwe mkahadaika na kulegeza kamba wakati dunia nzima inajua kilichotokea na udhalilishaji uliotokea.
haya ya serikali ya umoja sio makubaliano ya kupoozesha madhila ya uchaguzi,hili ni suala lipo kabla ya uchaguzi sio jipya,pindipo uchaguzi ungekwenda vizuri na kukubalika na washirika wote ,kusingekuwepo na ukataaji wa kuingia.
Lakini leo uchaguzi mzima ni fake halafu nyie mnaingia eti kutokana na katiba inatakiwa iundwe serikali ya umoja,basi msingwataka watu waende kuchagua tarehe 27/10/2020 .
Wala kina Bimani msidanganye watu kuwa kuna vikao na wananchi hakuna kikao hata kimoja zaidi ya ziara ambazo wananchi wafikwa wamezipokea na kuupokea ujumbe wa ACT ukiongozwa na Maalim Seif na wenzake kuwapa faraja wafikwa wa matokeo mabaya ya uchaguzi.
Leo hii mseme kwa sababu hizi na zile tun'amuwa kujiunga na serikali ili kudumisha umoja wa kizanznibari sababu n'jambo kubwa na lisilo taka kuepukwa lawaunganisha wazanzibari na hiki na kile nyunyu-nyunyu nyanya-nyanya,mkiingia hamna mtakachovuna zaidi ya lawama na wala si umoja ,umoja unaovunjika unapokaribia uchaguzi umoja gani huo.
Uchaguzi hautambuliki ni feki na hakuna sababu ya yeyote kuingia kwenye serikali fullStop.