Kura ya maoni ACT - Wazalendo kuamua Serikali ya Umoja

Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa chama cha ACT-Wazalendo Zanzibar, Salum Bimani, amesema viongozi wa chama hicho wanafanya vikao na Wanachama wake katika majimbo ya Unguja na Pemba kufikia uamuzi wa endapo kishiriki kwenye Serikali ya Umoja.

“Chama bado kinaendelea na vikao vyake kuhusu msimamo wake wa kuingia katika serikali au laa.” alisema.

Bimani aliyasema hayo, huku taarifa za zisizo rasmi zikieleza kwamba mchakato huo umekamilika na kazi kubwa inayofanyika hivi sasa ni kufanya uchambuzi wa maoni ya wanachama na kuangalia faida za kuingia katika serikali hiyo na hasara zake.
Anayesimamia, kuhesabu na kutoa matokeo ni yule yule na mpenda madaraka oh tumeliwa. Matokeo .watakuwa 80%
 
Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa chama cha ACT-Wazalendo Zanzibar, Salum Bimani, amesema viongozi wa chama hicho wanafanya vikao na Wanachama wake katika majimbo ya Unguja na Pemba kufikia uamuzi wa endapo kishiriki kwenye Serikali ya Umoja.

“Chama bado kinaendelea na vikao vyake kuhusu msimamo wake wa kuingia katika serikali au laa.” alisema.

Bimani aliyasema hayo, huku taarifa za zisizo rasmi zikieleza kwamba mchakato huo umekamilika na kazi kubwa inayofanyika hivi sasa ni kufanya uchambuzi wa maoni ya wanachama na kuangalia faida za kuingia katika serikali hiyo na hasara zake.
ACT Wazalendo kama watakubali kula na shetani basi wameisha
 
Hahaha njaa mbaya sana, walipo kuwa CUF waligoma kushiriki haram, leo wako ACT wanataka kushiriki haram.

Wangenipa sababu kwanini walikataa hiyo nafasi wakiwa CUF na leo ACT wakubali kilekile?!

Hiyo nafasi ina maslahi gani kwa wananchi wa Zanzibar?!
 
Finally baada ya sarakasi zote hizo wataunga juhudi na Wala siyo kwa interest ya wanachama wao Bali matumbo ya Viongozi Wachache.

Wewe jiulize tu kura za Maoni za Nini Kama msimamo wenu bado nikuto utambua uchaguzi uliofanyika?
Hapo tayari washaunga juhudi sema wapo kutafuta justification tu ya kuhalalisha njaa zao.

#Njaa Ni mbaya Sana

#Tanzania hakuna upinzani.
Aacha watafute chakula mkuu,maana hiyo ndo njia waliobakiza Ili kukomboa vyama vyao baada ya kusalitiwa na wafuasi wao, ambao wapo busy mitandaoni kama wewe.

Wasipotafutia matumbo yao, utawalisha wewe?
 
Pole sana kamanda, naona jinsi unavyopata maumivu.
Hawa kina ACT ndio walisema hawatakubali, leo hii wanajadili jambo ambalo walisema hawatakubali.
Poleni sana washabiki wa siasa
Hivi kuna jambo la kupigia kura hapo?

Waambieni wasione aibu, kama wanataka kwenda waende tu, tusichezeane akili.

Nawasubiri na hao Chadema leo nione watafanya nini, ndio nijue kama Tanzania kuna upinzani au ni CCM imejaa kila upande.
 
Kura si walishapigiwa tarehe 28 na 27 Zikaporwa na CCM?

Hao nao njaa tu siyo watetezi halisi wa masilahi ya Wazanzibari.

Walisema safari hii Ukhanithi basi sasa kujiunga na CCM kwenye serikali iliyopatikana kwa dhulma siyo Ukhanithi tu ni kushikishwa ukuta kabisaa
 
Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa chama cha ACT-Wazalendo Zanzibar, Salum Bimani, amesema viongozi wa chama hicho wanafanya vikao na Wanachama wake katika majimbo ya Unguja na Pemba kufikia uamuzi wa endapo kishiriki kwenye Serikali ya Umoja.

“Chama bado kinaendelea na vikao vyake kuhusu msimamo wake wa kuingia katika serikali au laa.” alisema.

Bimani aliyasema hayo, huku taarifa za zisizo rasmi zikieleza kwamba mchakato huo umekamilika na kazi kubwa inayofanyika hivi sasa ni kufanya uchambuzi wa maoni ya wanachama na kuangalia faida za kuingia katika serikali hiyo na hasara zake.
Swali la Msingi hapa:
Jee, ACT wanautambua uchaguzi uliofanyika kama ni uchaguzi huru na wa haki?
 
Maalim.
Duni.
Jussa.
awajamaa washaonyesha mapema sana kuingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa.
Zito anang'ata na kupuliza kama kawaida yake.
kura ya maoni ni kichaka cha kuhalalisha wanayotamani ndani ya mioyo yao ya kuwa ndani ya serikali ya Zanzibar,amabayo kimsingi ni jambo jema kuwa ndani ya serikali ya umoja wa kataifa.
wakusikitikia ni walewaliokubali kufa kizembe kwasababu ya wanasiasa wachumia tumbo.
 
Maamuzi yashafanyika na hapo walikuwa tu wanatafuta namna ya kuhalalisha.
Kura si walishapigiwa tarehe 28 na 27 Zikaporwa na CCM?

Hao nao njaa tu siyo watetezi halisi wa masilahi ya Wazanzibari.

Walisema safari hii Ukhanithi basi sasa kujiunga na CCM kwenye serikali iliyopatikana siyo Ukhanithi tu ni kushikishwa ukuta kabisaa
 
Hivi kuna jambo la kupigia kura hapo?

Waambieni wasione aibu, kama wanataka kwenda waende tu, tusichezeane akili.

Nawasubiri na hao Chadema leo nione watafanya nini, ndio nijue kama Tanzania kuna upinzani au ni CCM imejaa kila upande.
Zitto, una mtihani mkubwa, washenzi hao akina Maalim kama wataingias kwenye ubatili
 
Sikuwa na jua kuwa vyama vya siasa ni watumishi wa umma.
nimejua baada ya kuambiwa wanatumia kodi zetu kujilipa mishahara na posho.
Hivi mwaka 2015 walifanya huu mchakato kabla ya kuamua kususa? Hii ni technique ya kubuy time na ni suala la muda mfupi kabla hawajiunga na Serikali ya Dr. Mwinyi

Siasa ni ajira na ajira ni pesa!
 
Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa chama cha ACT-Wazalendo Zanzibar, Salum Bimani, amesema viongozi wa chama hicho wanafanya vikao na Wanachama wake katika majimbo ya Unguja na Pemba kufikia uamuzi wa endapo kishiriki kwenye Serikali ya Umoja.

“Chama bado kinaendelea na vikao vyake kuhusu msimamo wake wa kuingia katika serikali au laa.” alisema.

Bimani aliyasema hayo, huku taarifa za zisizo rasmi zikieleza kwamba mchakato huo umekamilika na kazi kubwa inayofanyika hivi sasa ni kufanya uchambuzi wa maoni ya wanachama na kuangalia faida za kuingia katika serikali hiyo na hasara zake.

Mauzauza mengine haya yako njiani. ACT wanaogopa kinachoendelea Chadema sasa hivyo wanapima upepo na kujaribu kuulainisha umma. Ni hivi Maalim, Dr Fakih, Mazrui, na Duni tayari wamo kwenye serikali ya Mwinyi na wamesha weka sahihi tayari. Wameshasahau vipigo na kutekwa sasa wanaingia wazima wazima. Ndoa ya Chadema na ACT sasa mkorogano, chadema hawataki matapishi huku wenzao ACT wanaweka sukari matapishi yao wayanywe.
 
Hivi kuna jambo la kupigia kura hapo?

Waambieni wasione aibu, kama wanataka kwenda waende tu, tusichezeane akili.

Nawasubiri na hao Chadema leo nione watafanya nini, ndio nijue kama Tanzania kuna upinzani au ni CCM imejaa kila upande.
hahahahh hongera mkuu kwa kulitambua hilo
 
ACT Wazalendo walishafanya maamuzi tayari ya kukubali matokeo ya uchaguzi na hivyo serikali ya Mwinyi. Jana viongozi wa chama walikuwa wanawaomba viongozi wa Chadema kuwasamehe akina Mdee na kuruhusu ubunge wao. Ili kwa kufanya hivyo ACT wapate sababu ya kuweka wazi kukubali kwao kuingia serikali ya Mwinyi. Ni muda tu ACT wataharibu hali hewa kwa kutangaza kuunga juhudi haramu za CCM. Wala hawana jinsi na namna maana washamwaga wino tayari. Wanazuga na kura za maoni ati...!
 
Back
Top Bottom