Kura ni kitu cha thamani; Wananchi msipoteze kura zenu na kuhatarisha Maisha yenu

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,321
11,410
Haya nayowaambia wanasiasa hawatawaambia.kwa nini? Hiki ndo kipindi cha wanasiasa kupata pesa hasa wale walio madarakani.

Kupitia uchaguzi wanapiga pesa nyingi sana na pia kwenye Kampeni huko hupata pesa,wanawake na fadhila mbalimbali.

Hivyo hawawezi kuwaambia maneno haya magumu. Mimi nasema.

Mwaka 2019-2020 acheni kuhangaika na Siasa. Acheni kabisa. Waacheni waliochaguliwa waapishwe. Kura zenu mtaziharibu kudhani zitabadilisha matokeo wanayotaka wao.

Msishirikii Kampeni. Mtapigika sana, mtavunjwa viungo, mtajeruhiwa na mnaweza poteza maisha au kufungwa. Just mark my words.

haya nawaambia ili mbadilike.msije lalamika baadaye kulalamikia chama chochote kile.sababu hakuna ambaye atabeba lawama zenu.

kura ni kitu cha thamani msikipoteze. Kama unaenda piga kura ukijua ambaye unamtaka hatotangazwa. Wewe una akili kweli? Why ukapige kura sasa? Kuna tofauti gani na kutwanga maji kwenye kinu? Au kwenda chota maji kwa pakacha/tenga?

Mimi siyo mwanasiasa ndo maana nawaambia haya ili muwe mjihadhari. Lakini ukiwa na uhakika wa mgombea wako kutangazwa nenda kapige kura.

Kama sivyo pumzika tu kwako.fanya maombi.
 
Ukweli mtupu mkuu, anaepingana na wewe mwambie arejeshe kumbukumbu zake kwenye uchaguzi wa marudio wa kinondon, temeke, ukonga nk.
 
Hakika ndo maana mimi na familia yangu hatujaenda wala hatuaenda kujiandikisha wala kupiga kura, kwani ndie sie sie ndie
 
Useless comment
Haya nayowaambia wanasiasa hawatawaambia.kwa nini? Hiki ndo kipindi cha wanasiasa kupata pesa hasa wale walio madarakani.

Kupitia uchaguzi wanapiga pesa nyingi sana na pia kwenye Kampeni huko hupata pesa,wanawake na fadhila mbalimbali.

Hivyo hawawezi kuwaambia maneno haya magumu. Mimi nasema.

Mwaka 2019-2020 acheni kuhangaika na Siasa. Acheni kabisa. Waacheni waliochaguliwa waapishwe. Kura zenu mtaziharibu kudhani zitabadilisha matokeo wanayotaka wao.

Msishirikii Kampeni. Mtapigika sana, mtavunjwa viungo, mtajeruhiwa na mnaweza poteza maisha au kufungwa. Just mark my words.

haya nawaambia ili mbadilike.msije lalamika baadaye kulalamikia chama chochote kile.sababu hakuna ambaye atabeba lawama zenu.

kura ni kitu cha thamani msikipoteze. Kama unaenda piga kura ukijua ambaye unamtaka hatotangazwa. Wewe una akili kweli? Why ukapige kura sasa? Kuna tofauti gani na kutwanga maji kwenye kinu? Au kwenda chota maji kwa pakacha/tenga?

Mimi siyo mwanasiasa ndo maana nawaambia haya ili muwe mjihadhari. Lakini ukiwa na uhakika wa mgombea wako kutangazwa nenda kapige kura.

Kama sivyo pumzika tu kwako.fanya maombi.
 
Hili unalonena naliona sana kwenye uandikishaji wa wapiga kura kwenye huu uchaguzi wa serikali za mitaa. Umedoda sana, je wananchi wamesusa?
 
Naunga mkono hoja. Tukutane tu 2025 Mungu akitujalia uzima na afya njema.
 
Leo nimeenda kujiandikisha ila nimejikuta ni mimi mwenyewe ndo nilikuwa kwenye kituo. Sijui ni kwa nini. Labda vyuma vimekaza au wananchi wamekata tamaa?.
 
Wakijitokeza wachache kujiandikisha kupiga kura, labda busara zitawarudia viongozi wajiulize kwa nini imekuwa hivyo kipindi hiki!
 
Umechelewa sana kujua hili au kulisema,mie huwa nakaa kuwasha tv nawaangalia watu wakiwa kwenye foleni wenye wakipiga kura.
 
Haya nayowaambia wanasiasa hawatawaambia.kwa nini? Hiki ndo kipindi cha wanasiasa kupata pesa hasa wale walio madarakani.

Kupitia uchaguzi wanapiga pesa nyingi sana na pia kwenye Kampeni huko hupata pesa,wanawake na fadhila mbalimbali.

Hivyo hawawezi kuwaambia maneno haya magumu. Mimi nasema.

Mwaka 2019-2020 acheni kuhangaika na Siasa. Acheni kabisa. Waacheni waliochaguliwa waapishwe. Kura zenu mtaziharibu kudhani zitabadilisha matokeo wanayotaka wao.

Msishirikii Kampeni. Mtapigika sana, mtavunjwa viungo, mtajeruhiwa na mnaweza poteza maisha au kufungwa. Just mark my words.

haya nawaambia ili mbadilike.msije lalamika baadaye kulalamikia chama chochote kile.sababu hakuna ambaye atabeba lawama zenu.

kura ni kitu cha thamani msikipoteze. Kama unaenda piga kura ukijua ambaye unamtaka hatotangazwa. Wewe una akili kweli? Why ukapige kura sasa? Kuna tofauti gani na kutwanga maji kwenye kinu? Au kwenda chota maji kwa pakacha/tenga?

Mimi siyo mwanasiasa ndo maana nawaambia haya ili muwe mjihadhari. Lakini ukiwa na uhakika wa mgombea wako kutangazwa nenda kapige kura.

Kama sivyo pumzika tu kwako.fanya maombi.

Mimi huyu huyu niende kuchafua kidole changu eti napiga kura kwenye "uchaguzi" hewa ulioratibiwa na Magufuli??!!! Nikikosa cha kufanya nitaenda kulala.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom