Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,356
- 11,502
Haya nayowaambia wanasiasa hawatawaambia.kwa nini? Hiki ndo kipindi cha wanasiasa kupata pesa hasa wale walio madarakani.
Kupitia uchaguzi wanapiga pesa nyingi sana na pia kwenye Kampeni huko hupata pesa,wanawake na fadhila mbalimbali.
Hivyo hawawezi kuwaambia maneno haya magumu. Mimi nasema.
Mwaka 2019-2020 acheni kuhangaika na Siasa. Acheni kabisa. Waacheni waliochaguliwa waapishwe. Kura zenu mtaziharibu kudhani zitabadilisha matokeo wanayotaka wao.
Msishirikii Kampeni. Mtapigika sana, mtavunjwa viungo, mtajeruhiwa na mnaweza poteza maisha au kufungwa. Just mark my words.
haya nawaambia ili mbadilike.msije lalamika baadaye kulalamikia chama chochote kile.sababu hakuna ambaye atabeba lawama zenu.
kura ni kitu cha thamani msikipoteze. Kama unaenda piga kura ukijua ambaye unamtaka hatotangazwa. Wewe una akili kweli? Why ukapige kura sasa? Kuna tofauti gani na kutwanga maji kwenye kinu? Au kwenda chota maji kwa pakacha/tenga?
Mimi siyo mwanasiasa ndo maana nawaambia haya ili muwe mjihadhari. Lakini ukiwa na uhakika wa mgombea wako kutangazwa nenda kapige kura.
Kama sivyo pumzika tu kwako.fanya maombi.