Elections 2010 Kura mill 10 zisizo pigwa ni Zangu Mtikila

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Mchungaji Christopher Mtikila wa DP amesema atafungua kesi mahakamani kupinga uamuzi wa Nec kumuengua katika kinyang’anyiro cha urais.

Mtikila, ambaye alienguliwa kwa madai ya kutotimiza masharti ya kuwa na wadhamini 200 katika mikoa 10 ya Tanzania Bara, alisema kuwa Watanzania zaidi ya milioni 10 ambao hawakupiga kura katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 31 mwaka huu, walifanya hivyo kwa kuwa hakugombea urais.

“Ndio; waliojiandisha kupiga kura walikuwa watu karibu milioni 20, lakini waliojitokeza kupiga kura walikuwa milioni 8.4, kati ya hao waliomchagua aliyekuwa mgombea wa CCM walikuwa milioni 5.8. Sasa hawa ambao hawakujitokeza kupiga kura wangenichagua mimi kwa sababu ya itikadi na sera zangu za kuleta ukombozi nchini Tanzania,” alisema Mtikila.

Mtikila alisema kutokana na hali hiyo ameiandika Nec barua akiitaka kufanya upya uchaguzi wa urais kwa kuwa haikumtendea haki.
 
Yeah we know you Mr. Mtikila founder of the name (MAKABACHORI)!!!!:whoo:
 
Jamani eee Mtikila huwa hakurupuki nyi subirini tuu maana inasemekana anakusanya Data ili akiibuka Moto kwa Wanafiki CCM
 
You betcha Mtikila, I would vote for you before voting for Kikwete. I am sure your winning would bring back credibility of president office
 
Kikwete ni mbumbumbu,, hajui anachokifanya kwasababu kila lililo na mwanzo halikosi kuwa na mwisho tusubiri tuone results
 
Rev. Mtikila you deserve what you get, those are rewards from CCM for what you did at Tarime during "small" election after Chacha Wangwe death.
 
Hahahahah kwa watu wasio na uwezo mkubwa wa kufikiri wanadhani Mtikila hana umuhim wowote katika Siasa za Tanzania,, lakini katika Siasa wakikosekana watu kama Mtikila Mrema, na Slaa, basi hapo hakuna siasa tena na Democrasia, Sijamuweka Lipumba kwasababu wao ni wasaliti wa siasa ya Tanzania yeye na mwenzake Maalim Seif
 
James Mbati je yeye yuko kundi gani
 
Mchungaji Christopher Mtikila wa DP amesema atafungua kesi mahakamani kupinga uamuzi wa Nec kumuengua katika kinyang'anyiro cha urais.

Mtikila, ambaye alienguliwa kwa madai ya kutotimiza masharti ya kuwa na wadhamini 200 katika mikoa 10 ya Tanzania Bara, alisema kuwa Watanzania zaidi ya milioni 10 ambao hawakupiga kura katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 31 mwaka huu, walifanya hivyo kwa kuwa hakugombea urais.

"Ndio; waliojiandisha kupiga kura walikuwa watu karibu milioni 20, lakini waliojitokeza kupiga kura walikuwa milioni 8.4, kati ya hao waliomchagua aliyekuwa mgombea wa CCM walikuwa milioni 5.8. Sasa hawa ambao hawakujitokeza kupiga kura wangenichagua mimi kwa sababu ya itikadi na sera zangu za kuleta ukombozi nchini Tanzania," alisema Mtikila.

Mtikila alisema kutokana na hali hiyo ameiandika Nec barua akiitaka kufanya upya uchaguzi wa urais kwa kuwa haikumtendea haki.

Ili nchi iitwe inch na ambavyo Mungu katuumba, watu kama hawa lazima wawepo, hiyo ndio nafasi yake kama Mtikila, Japo ni Mtanganyika, kwa hili mh??

Hongera Mtikila, utashinda tu mbona mgombea binafsi ulishinda? Songa mbele kudai haki yako.
 
Jamani eee Mtikila huwa hakurupuki nyi subirini tuu maana inasemekana anakusanya Data ili akiibuka Moto kwa Wanafiki CCM

NInachompendea ni kwamba Hataki Muungano. Hapo tu huwa anaukosha moyo yangu!!!
 
NInachompendea ni kwamba Hataki Muungano. Hapo tu huwa anaukosha moyo yangu!!!

Anaogopa waislamu wa Zanzibar na mpango wao wa kujiunga na na nchi za jumuiya ya kiislamu na kuanzisha mahakama ya kadhi ambayo ni hatari kuliko magaidi Al Qaeda. Bora wakae kivyao Zanzibar na sie kivyetu, muungano karne hii. I cant wait for new Tanganyika. Go Mtikila.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom