TanzActive
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 367
- 73
Wana JF, the Great thinkers heshima Kwenu
Siku ya MEI MOSI, Mheshimiwa Rais aliahidi kutupunguzia mzigo wa kodi na Nyongeza ya Kima cha chini cha mshahara, Kwamba mabadiliko hayo yangeelezwa kwa kinagaubaga. Katika hotuba za mawazi wa Fedha na Kazi
Nimesubiri kwa hamu hotuba za mawazili hao sijasikia nafuu hiyo ya Kodi !
Je tumedanganywa ? au kuna habari imenipita ?
Tafadhali naomba kujuzwa
Ahsanteni