Kupunguza Woga/Fear ya Kushindwa katika kuanzisha Biashara

Mkuu Komandoo... Umetoa mawazo mazuri sana kuhusu ujasiliamali. Nakubaliana nawe 100 percent. Tatizo la uthubutu kwenye ujasiriamali kwa watz lipo kwenye AKILI zetu. Trust me. TUNAMATATIZO YA AKILI....
 
Mimi nashukuru kwa kunipa mwangaza, (hasa hiyo ya Wagiriki ya kuchoma moto meli) kwakweli nimejifunza mengi kwa haya machache ikizingatiwa si mimi tu ila watu wengi tuna jinamizi hili la woga wa kuacha kuajiriwa na kujiajiri wenyewe na kuanza kula matunda ya jasho letu wenyewe.

AHSANTE MKUU NA UBARIKIWE SANA.
 
Mimi pia ni mjasiriamali, nimeanzisha kampuni ya building service (electrical & mechanical), kinachonisumbua ni gharama za uendeshaji kabla miradi haijachanganya, je nitawezaje kupata mkopo wa masharti nafuu, napata shida mpaka natamani kurudi kwa muajiri, ila siwezi kufanya hivyo ninakomaa mpaka kieleweke. wasiliana nami kwa email gearedconsult@gmail.com.
 
Woga ni ugonjwa unaotafuna sehemu ya ubongo (subconscious mind), ambamo uthubutu ndimo ulimohifadhiwa?
Je tunawezaje kupona na hili janga mkuu KOMANDOO?
 
Woga ni ugonjwa unaotafuna sehemu ya ubongo (subconscious mind), ambamo uthubutu ndimo ulimohifadhiwa?
Je tunawezaje kupona na hili janga mkuu KOMANDOO?

Mkuu kwa kifupi ni Kwamba hapa ndo sehemu panapo hitaji Uwezo wa Mtu binafisi, na hata ndo moja ya skills ambazo huwezi kuzipata sehemu yoyote ile iwe chuoni, so mkuu ni Kuchoma meli moto pekee ndo kunaweza kukusaidia,

Mara nyingi wapo ambao huzaliwa na sprit ya kuto kuwa na uoga na wapo ambao uoga huondoka kutokana na matatizo so unaweza kuta sasa hivi mtu anaogopa sana kitu biashara na hii inachangiwa na kuwa na kazi ila the time hio kazi ikiisha huu uoga unaweza ondoka weyewe

 
Huo mfano wa kuchoma meli moto naufananisha na wale vijana wanaoharibu kwao halafu wanazamia sauzi ili kutafuta maisha, wanakwambia ni bora apigane kwanamna yoyote lakini sio kurudi bongo. Japo sio mfano mzuri
 
Unawezaji kupunguza woga wa kushindwa katika biashara?

road-failure_~k0091216.jpg


Wasi wasi wakushindwa umetuzuia hatakuanza, na tumekuwa tukishindwa hata kabla ya kuanza, yaani kabla mtuhajafikilia kuanzisha biashara tiyali ameisha shindwa, hivyo wakuu nimejaribukuangalia baadhi ya njia za kupunguza wasiwasi wa kushindwa kuanza biashara

1. Hakikisha kwamba familia yako haitapata shida wakati utakapokuwa unaanza biashara

-Watuwengi sana wamekuwa wakishindwa kuanza biashara kwa kuhofia familia zao, mtuakifikilia familia yake anaona bora tu aendelee na mshahara wa mwisho wa mwezikuliko kunza biashara halafu familia iteseke
Hiini ulweli kwa sababu kushindwa kwako kutaathiri hadi familia yako, marafikizako, ndugu zako na kazalika, ukiwa na huzuni ya kushindwa biashara hata watotona mke hawatakuwa na furaha kamwe,
Hivyowaandae watoto wako, mke/mme wako kisaikolojia kwanza, na hakikisha kwamba hataukishindwa familia yako haitafeel pain sana, hii itakusaidia


2. Don't over spend

Watuwengi wamekuwa wkiwa na wasiwasi wa kushindwa kwa sababu ya kutambua kwambawatatumia ghalama kubwa katika biashara,
KAMA NI BIASHARA YAKO YA KWANZA KABISA NA NDO UNAANZA BIASHARA USI OVER SPEND,tumekuwa tunaathiriwa na biashara za wengine, mtu anatembelea ofisi ya kampuniFulani kule BENJAMINI MKAPA TOWE, nay eye anawaza kuwa na vitu kama alivyo onakule, No anza na ulicho nacho, na kwabaisahra ya kwanza usitumie pesa nyingi sana, Kama ni hoteli anza na MABENCHKWANZA make kinacho mata ni huduma na si fanicha, unaweza weka fanicha karisana lakini kama huduma ikiwa mbovu huta muona mtu


3. Fanya market research kwanza

Hiiinaweza kukupunguzia uoga wa kushindwa, make utakuwa na uhakika wa soko baadaya kuwa umefanya research, Watu wengi ni wabishi sana tunaanza biashara kwakuamni kwamba wateja watakuja tu, hii ni makosa makubwa sana,
TUMEKUWATUKIFANYA RESEARCH YETU KWENYE BEI, KAMA KITU KINA LIPA MTU HUANZA BIASHARABILA YA KUJUA ATAMUUZIA NANI,


market research haiko kwenye bei pekee iko sehemunyingi kama vile

- Demand
- Competitors
- Market share
- Population
- Price
- Na kazalika
Tumekuwahatu fanyi hayo yote matokeo yake mtu anakurupuka anaanza kufuga KUKU kisa tumtaani kwao watu wanafuga na inalipa sana, hayo ni makosa makubwa sana wakuu

4. Kila biashara ina Risk yake

Hivyofanyia tambua riski zote zilizoko katika Biashara yako na zifanyie kazi,
Mfano:Ufugaji wa kuku, Watu wamekuwa wakiogopa sana biashara ya kufuga kuku kisa tuugonjwa, sasa kama unafahamu riski kubwa ni ugonjwa ni kwa nini usifanyie kazihili tatizo? Je hakuna madawa? Je tatizo nini?


5. Vitendo, TAKE ACTION OTHERWISE YO FAILED

Kufanyakwa vitendo nako hupunguza wasiwasi wa kushindwa, watu wengi wamekuwa wakiishiakusema nina Business planning nzuri sana, BUSINESS PLANING SI BIASHARA,BUSINESS PKANING NI MAKARATAI, NA KUYAWEKA KATIKA VITENDO NI ISHU NYINGINEKABISA

6. Kumbuka Wajasirimali wakubwa DUNIANI walishindwa mara nyingisana kabla ya kufanikiwa

Ukiwana wasiwasi wakushindwa katika biashara yako, fikilia kwanza kuhusuwajasirimali wakubwa walishindwa kabla ya kufanikiwa, SOMA HISTORIA YA HONDA,wacheki wakina Michaele Dell, mcheki na Henry Ford hawa walishindwa mara kibaokabla ya kuja kufanikiwa

Steve Jobs is a great example. He revolutionized thecomputer and multimedia industry with his marvelous inventions and successstories, but he is also an entrepreneur who had a lot of epic fails. Do youremember Apple I and Apple II computers? They were sold in mere hundreds andwere complete failures. What about Lisa, introduced in the early 1980s? Whatabout NeXT Computer? Do you relate these failures to Steve Jobs? – Not sure…Well yes, he failed on these ones but all of them were followed by greatsuccesses. Check Nick Shulz' great blogpost, "

WhataboutGoogle? Even great companies such as Google havestartup failures. Google Wave, Google Nexus One, Jaiku, or Google Answers are someexamples of startup projects which required huge investments and in the endthey still failed. Follow this andthis link to readmore about Google startup failures. Thus, we can see that failing is part ofthe learning process and part of your way to success.

To sumup, failing is not such a bad thing. In fact it is a great thing because itteaches you to things you cannot learn without "hitting the ground".

Fred Wilsonsays:"Whenwe meet with entrepreneurs, I'm always interested in their failures. And mostpeople have them, you just have to dig a bit to find them. If someone hasfailed and taken the time to learn from it, I think that's a big positive. Itmakes us even more excited to back them the next time. Don't hide yourfailures. Wear them as a badge of honor. And most of all, learn from them

7. Usiweke mayai yote kwenye kapu moja

Madhara ya kuweka mayai yote kwenye kapu moja ni kwambamara tu kikapu kitakapo dondoka, itakuwa imekula kwako, hivyo basi njianyingine ya kupunuza wasiwasi wa kushindwa ni kujaribu kuwa na SBU nagala mbilihadi tatu,
Unapo anza biashara mathalani ya Hoteli, kuwa basi nabiashara nyingine ya Ufugaji wa kuku au kilimo cha Mboga, hii itakupunguziawasiwasi kwa sababu utakuwa unajua kwamba ukishindwa sehemu moja bado unasehemuya pili ya kufanya vizuri


8. Choma Meli moto/Burn the boat

Huu ni mkakati ulio kuwa ukitumiwa na wagiriki enzi zavita miaka hiyo, Wanajeshi wa Kigiriki walivyo kuwa wakifanikiwa kufika eneo laVita au kwenye uwanja wa vita kitu cha kwanza walicho kuwa wakifanya ni kuchomaVitu vilivyo wafikisha eneo la VITA, walichoma mashua na meli zao zote, hii iliwafanya wasiwe na altenativeyeyote ile zaidi ya kupigana na kushinda vita make wakishindwa bado wata uwauwatu kwa sababu tiyali wameisha choma moto MELI ZAO NA MASHUA ZAO

Na hii iliwafanya wanajeshi wa Kigiriki kuwa na Molari yahali ya juu na ujasiri mkubwa sana na mara zote walikuwa wakishinda

SO? Kama kushindwa na kushinda katika biashara ndooptional pekee zilizopo huna budu kuzifuata zote na kupigana gadi mwisho.

Kama una aidea lakini unaogopa kuanza CHOMA MOTO MELIYAKO na enedelea mbele kwa kuamini kwamba kushindwa hakutakusaidia chochotekile, WAGIRIKI walikuwa wakiamni hata kama wakishindwa ni kazi bure, so na wewefika mahali uamini kwamba hata kama ukishindwa ni kazi bure hivyo ni kupiganatu
WAKUU, fear ya kushindwa huondoka mara tu unapo gunduakwamba haitakusaidia chochote kile
success-failure-green_~k2692397.jpg


9. Tambua ghalama za furusa unazo ziacha
Kabla hujafikilia kuacha biashara au kuanzisha biasharaFulani fikila ghalama au COST OF MISSED OPPORTUNITIES ambazo utakuwa umeziachapindi ukitemana na biashara



Ahsante.....mada nzuri.
 
Back
Top Bottom