Kupunguza size ya uume.

Mkuu Sir. Kernel kwanini unataka kupunguza size ya uume? watu wanataka kuongeza wewe unataka kupunguza size ya Uuume wako makubwa hayo kulikoni?

Atakua amepata dogodogo kamdatisha au alitumia mzizi mbichi kuongeza ukubwa sa umezidi kiwango sasa anamuomba mzizimkavu amsaidie!

pole sana kiongozi, mzizi mkavu tafaadhali msaidie bwana unajua we ndo mganga pekee humu!?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom