Kupunguza maswali sio suluhu wala kuboresha elimu. Wizara ipitie upya mfumo wa elimu

Blank page

JF-Expert Member
May 28, 2015
4,728
3,172
Mabadiliko yaliyofanywa na baraza la mitihani yaani necta, hayaendani wala hayajategemewa kama kuwa itakuwa ni suluhu ya uboreshaji wa elimu yetu
Nashauri serikali wapitie na waangalie upya aina ya maswali na ufundishwaji ama aina nyingine ya upimaji kwa wanafunzi hasa kwa shule za msingi.
Hivi unampaje mtoto ama mwanafunzi mtihani wa hesabu wa kuchagua? Na unampaje mwanafunzi maswali ya kuchagua pia katika masomo kama sayansi, english na maarifa ya jamii?
Then unaliachaje somo la stadi za kazi? Serikali hili somo hailithamini kabisa wakati lingeweza kumjenga mwanafunzi.
Kingine unamchukuaje mwalimu ambaye hana ujuzi kutoka level nyingine akafundishe kitu ama sehemu hajasomea?
Wizara tunaomba mfanye marekebisho ya hayo machache hapo juu kuboresha elimu yetu.
Haya mabadiliko mmefanya siyo tunayoyahitaji wala hayana msingi katika elimu ya msingi!
 
Back
Top Bottom