Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
Wafanyakazi 23,000 wamepoteza ajira moja moja.
Madai ya kupungua kwa shehena ya mizigo katika bandari kuu ya Dar, kunatajwa kusababisha wamiliki wa malori kuondoa barabarani zaidi ya 11,500
TATOA kimesema kuwa madereva 23,000 na wasaidizi wao wamepoteza ajira kutokana na kusimama kwa magari hayo.
Mwenyekiti msaidizi wa TATOA amesema kuwa ndani ya mwaka jana malori ya mizigo yaliyosajiliwa kubeba mizigo ni 21,000 lakini hadi mwisho wa wiki iliyopita yalikuwa yamesalia malori 9,500.
Zaidi, soma gazeti la Mtanzania.