kupungua kwa hard disk drive | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kupungua kwa hard disk drive

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by JosM, May 18, 2009.

 1. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Habari za asubuhi wanaJF,

  nina tatizo moja ambalo linanisumbua sana,nina hdd ya 80gb ambayo nimeiwaka kama slave kwenye pc yangu,cha kushangaza ni kwamba ilipungua size toka 80gb mpaka 31gb.Jana niliamisha data zote toka kwenye hiyo hdd baada ya hapo niliiformat,hapo ndipo nilishanganyikiwa kwani ilipungua tena toka 31gb mpaka 3gb.wanaJF kusema kweli sijui ni fanyeje kuirejesha size yake naomba ushauri wenu kama itawezekana kurudia size yake ya mwanzo.
   
 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  May 18, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Ndugu angalia jinsi ulivyofanya partition inawezekana umekosea kuweka size
   
 3. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Shy,sikufanya partition yeyote ile bali ilibunguwa yenyewe tu,hii Hdd ndio niliinunua ikiwa na 80gb nikaiweka kwenye pc kama slave niliitumia kwa miezi sita baada ya hapo ikapungua ghafla toka 80gb mpaka 31gb.jana ndio nimeiformat kwa nia ya kutaka kuweka data zangu muhimu,baada ya kumaliza kuiformat ndipo nilishangaa imepungua tena toka 31gb mpaka 3gb.kusema kweli nimeshindwa kuelewa tatizo ni nini hasa. naomba kama kuna mtu anajua software yoyote ambayo naweza kuitumia nikairudisha kwenye hali yake ya kawaida tafadhali.
   
 4. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #4
  May 18, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kuna software inaitwa partition magic unaweza kuitumia hiyo kuangalia status ya hardisk yako au nyingine inaitwa harddisk health hizo zote zinaweza kuangalia na kukuambia kama hdd yako ina tatizo gani au kama unataka kurepartition upya zinaweza pia
   
 5. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #5
  May 18, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  HDD Regenerator
  is a unique program for regeneration of physically damaged hard disk drives. It does not hide bad sectors, it really restores them
   
 6. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  thank you,ngoja niijaribu then nitakupa feedback,Shy nakuheshimu sana inaonekana ni mkali sana kwenye mambo haya.
  Kama yupo mdau mwingine ambae nae anajua nyia nyingine tafadhali anielekeze .
   
 7. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #7
  May 18, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Sio mkali ni mambo ya kujifunza tu ndugu na kuwa na uzoefu kidogo usichoke kujifunza haswa kwa njia ya mtandao
   
 8. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #8
  May 18, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Active Smart 2.71
  Protect your hard drive from a sudden failure. Use ActiveSMART®. Install ActiveSMART® to protect yourself from a possible data loss in case of an unexpected disk failure. Normally, the hard disk errors happen unexpectedly. How much would the hard disk information loss cost you? Does your hard drive - the heart of your PC - feels healthy? ActiveSMART is a realtime hard drive diagnostic software. It utilizes the S.M.A.R.T. technology to track the status of the computer hard disks. Its main goal is timely detecting and anticipating any problems, occurring with the disk, before the danger of the data loss appears
   
 9. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  How did you format it?
  Which among these format did you pick:

  • NTFS
  • FAT32
  • FAT16


  Nadhani mwanzoni ulitumia FAT32 ndiyo maana HDD size ikawa 32GB
  Limitation kwenye FAT16 ni 2GB or 4GB in some Operating Systems.


  Jaribu kui-format tena, ila uchangue NTFS format (New Technology File System).
   
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Ukiwa kama IT expert huwezi kutatua taizo kihivyo ndugu shai......imagine unafanya kazi help desk IBM mtu kaja na tatizo kama hilo utamwambia kanunue software iangalie status? wana ku fire soon....

  jibu ambalo nilitegemea ni hili la chini alilotoa dada/kaka mbwa mzembe....

  Ubarikiwe lazydog.....
   
 11. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Lazydog nashukuru sana ndugu yangu,kweli mwanzo nili-format kama FAT32,nimetumia njia ulionielekeza imerudi toka 3gb mpaka 31gb ambayo ndio ilikuwepo mwanzo kabla sijaiformat.Ndugu Lazydog unaweza kuniambia ni kwa nini ilipungua yenyewe toka 80gb mpaka 31gb? je nitafanyaje irudi kama mwanzo ? nimeformat kama NTFS ikarudi 31gb.nashukuru sana kwa mchango wako umenisaidia mno maana nilikuwa nafikiria kwenda kununua nyingine.
   
 12. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Yo Yo,kumbe na wewe ulikuwa na tatizo kama la kwangu? dah! na mshukuru sana Shy,LazyDog wamenisaidia mno.LazyDog na Shy, Mungu abarikiwe sana!
   
 13. BrainPower

  BrainPower Senior Member

  #13
  May 19, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ukweli,

  Nami nilisha wahi kuwa na tatizo kama hili.

  Jaribu kutumia Disk Management program iliyoko kwenye computer. (Kama unatumia Windows)

  Kwenye vista Nenda ->

  Control Panel Select -- Administrative tools-- computer management

  Chini ya 'Storage' -(iliyoko kushoto) Double click "Disk Management"

  Ita kuletea overview ya hard disk zako. Both Primary na Secondary (slave)

  Angalia kwenye summary Kama partition iko salama itakuwa Healthy.

  (Nadhani) Hiyo (slave) yako itakuwa na ~70GB of Unhealthy au unallocated (one of the two) space.

  Just right click (on the unhealthy au unallocated space) and format it to NTFS plus change drive letter/path
   
 14. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  some times inakuwa ni virus infection,iliwai nitokea for me it was virus infection
   
 15. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #15
  May 19, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ahsante kwa ushauri wako ndugu,nina tumia window XP,nadhani hiyo option ulionionyesha hapa kwa XP haipo! nikijaribu ku-install ubuntu inaonekana ina 80bg,nime jaribu ku-resize na ubuntu CD LIVE imeshindikana.
   
 16. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  Nimeongezea step moja hapo kwenye nyekundu.
   
 17. BrainPower

  BrainPower Senior Member

  #17
  May 20, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nimejaribu kuinvestigate kwenye XP

  Hiyo option ipo pia, jaribu kati ya hizi methods utafanikiwa kufika kwenye Disk management


  • Method 1 - Start > Control Panel > Performance and Maintenance > Administrative Tools. Double click Computer Management and then click Disk Management in the left hand column.
  • Method 2 - By default, Administrative Tools is not shown on the Start Menu but if you have modified the Start Menu (by right clicking the Start button and selecting Properties > Customize) so it is shown then just select Start > Administrative Tools > Computer Management and then click Disk Management in the left hand column.
  • Method 3 - Click Start > Run and type diskmgmt.msc in the Open: line and click OK. The Disk Management snap-in will open.
  Hope it helps
   
 18. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #18
  May 20, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nimefanikiwa ila inaonesha ina 31.5gb health (system)
   
 19. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #19
  May 20, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  A or B?

  [​IMG]
   

  Attached Files:

  • CM.PNG
   CM.PNG
   File size:
   147.5 KB
   Views:
   46
Loading...