Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi (low sexual libido or loss of libido)

Kwanza inaonesha mmeoana umri ukiwa umeshasogea kidogo na inavyoonesha we ushapata mtu mwingine


Yaani kama ulikuwepo. Hawezi kuomba ushauri wa amwache au asimwache. Sasa akiambiwa asimwache wakati akili imeshajitune kumwacha atasikiliza ushauri?

Hivyo asimuudhi mwenzie, aondoke kama ifuatavyo akachezewe na hao wanaume wengine.....after all huwezi pata mtu perfect..aso hili ana lile.
 
Sasa mtatukisha ambao hatujaoa au mnataka tubaki ka mwanaFA 'bado nipo nipo'' maada yako inatatanisha kidogo kitendo cha kumchukia tu mumeo bila sababu labda wataalamu kama wanasa technical advive ila mimi kinanipa shida kidogo.

Watu smart hawaoi. Kazi kwako.
 
Hivi ngoja nikuulize, unaweza kumwambia mkeo aende nje akatafute wanaume kwa sababu amedai unyumba ambao unampaga kama dawa ya surua na pale wewe utakapo!

Ok mke ulipomwambia hivyo akajinyamazia kimya bila ungomvi wowote, akawa anasubiria mpaka hamu yako itakapokupanda uende kuomba mambo. Then ukifika unaanza kumshikashika kama vile hutaki, na yeye anakuambia hana hamu. Kwa uselfish wako unajiinukia nakuondoka zako. Hivi kwa maneno hayo au matendo yaho utaendelea kumpenda huyu mtu wala kumtamani.

Tuwe wakweli jamaa tuache unafiki, maana mpaka kufikia hapa ujue maji yamefika shingoni.
Hapo iko obvious kuwa yeye pia hakutaki. Kila mtu anaona noma jamii itamfikiriaje akimwaga mwenziwe, kwa hiyo mnategeana. Kukwambia ukatafute mwanaume maana yake amekuchoka mpaka mwisho.

Kwa mawazo yangu hiyo ndoa haipo hata kama ukichukua likizo ya miezi mitatu na kurudi, hata kama mkipata ushauri wa mwanasaikolojia ama kiongozi wa dini. M-face na m-discuss namna ya kuachana. Sometimes ni possible kuwana mutual agreemet ya kuachana.

Pia usijali sana watu wanasemaje- hawakusaidii chochote katika maisha yako. Kumbuka you live only once, and might be your only chance for happiness. Mbinguni hakutabiriki! OOhhooo.
 
Huyu mama alikuwa anataka kuondoa mikosi ya kwamba tangu azaliwe hajaolewa, katika jamii zetu mwanamke asipoolewa kuna mambo mengi (Malaya, Magonjwa ya asili kwenye ukoo mfano kifafa, ukoma nk, au amesoma sana kupitiliza hivyo wanaume wote wanamkimbia kwa kujifanya yeye ni msomi, umri wake umepitiliza 35+ hapo karibu anaingia menopozi) hivyo inabidi angalau achukuwe yeyote yule anayekuwa karibu, hivyo baada ya muda akishatimiza lengo lake la kuvunja mikosi ya kutokuolewa kwa vile yeye alishazoea umalaya wa kulala na size tofauti, hapo lazima amchoke haraka mumewe.

Hili ni onya kwa yeyote yule ukikuta mwanamke kafikisha 35+ jiulize mara mbili mbili kama unataka kuweka ndani labda kama unataka kusafisha lungu. Kama siyo kusafisha lungu yatakukuta kama ambavyo yanataka kumkuta huyo jamaa.
 
Na vipi wanawake nao, maana kuna wengi tu ambao hutoka nje ya ndoa zao kwa visingizio kibao visivyo vya msingi. Wanaume na wenyewe wana haki ya kulalamika?
...

...definately! bila kulalamika itajulikanaje unanyimwa haki yako? umwagwe mtama hadharani pachambuliwe tofauti ya mpunga na chuya, na hapo pata tambulika nini tatizo mpaka dume zima likafikia kusaidiwa na dume mwenziwe (kwa visingizio kibao vya msingi)
 
Hii inafaa kuwa Quote of the week...:)

Kama unaishi na mwanaume anakugusa gusa tu, hakufukuzii hata kama ni kwenye ndoa, hainogi kabisa, wanaume jifunzeni kwa KUKU na JOGOO. Dont go against nature. Marriage is not automatic.
 
Pole sana kwa yanayokusibu. Njia pekee na rahisi ya kumfanya mumeo akuache 'leo leo' ni kuanza kuwa kikojozi. Hakuna mwanaume aliyetayari ku-share kitanda na mwanamke kikojozi. Nina imani njia hii itakusaidia. Goodluck
 
...Hakuna mwanaume aliyetayari ku-share kitanda na mwanamke kikojozi. Nina imani njia hii itakusaidia. Goodluck

...mkojo hauwezi nifanya nimuache mke.
 
dada hiyo ni kawaida,

kilichotokea mulioana out of lust na sasa lust imeisha hakuna tena upendo. sasa angalia kama kuna vitu ambavyo mnavifanya ambavyo vinaweza kuwafanya muwe marafiki basi vifanye hivyo ili kumfanya mumeo kuwa rafiki zaidi.

pili mawazao na maneno huumba ondoa mawazo ya kumchukia na usimseme vibaya mumeo, kuwa positive wakati wote fikiria masuala mazuri ambayo uliyaona kwake mlipokuwa mnapendana na ukae na taswira hiyo.

pia jaribu kuwa busy, ukiwa busy utapunguza muda wa kuwaza uovu na utapata mawzo mbadala.

Muombe Mungu pia sana itakusaidia kujenga imani. ikishindikana vyote hivyo then ondoka umuache akae kwa amani maana hadi wewe umesema inamaana huyo kamanda kashajuta kwanini alikuoa.
 
Watu (sana sana wanawake) wanaingia kwenye ndoa ili kuifurahisha jamii, hawaangalii mambo ya msingi kabla ya kuingia kwenye ndoa. Kuolewa/kuoa sio ishu sana, kama wewe hujisikii kufanya hivyo.

Mrs M,
Visa sio suluhisho zuri la kuachana....kubali (pia mshawishi na mwenzio akubali) kwamba mmeshindwa kuishi pamoja, ndipo muongelee jinsi nzuri ya kuachana kwa amani.....
Narudia tena, NDOA SIO KILA KITU...especially if youn't in need of it!
 
Mmhhh. kama umemchoka si umuache? Usanii haulipi...kumfanyia vituko mtu akuache haitakusaidia chochote...itakugharimu zaidi wewe kuliko unavyodhani
 
Kaa chini angalia kisa cha kumchukia ni nini ,unaweza ukamuacha ukapata mwingine then matatizo yakawa yaleyale au yakaongezeka
 
mimi naona bora wewe mrs ulivyosema umemchoka, umekuwa mkweli!jamani tupo wengi tunaochoshwa lakini tunapambana, labda mrs kachoshwa kupitiliza ndio mana anataka aachie ngazi, nadhani ni mtu mzima anajua anachofanya! maisha ni haya haya na tunaishi mara moja tu tuendako hatukujui kwanini ujinyime raha?kama unaona unaona kutengana kutakupa ahueni then y not? haaa naona umechoshwa kupitiliza hata tukikuambia fanya hivi fanya vile kama umechoshwa umechoshwa tu...kila la kheri kwenye maamuzi yako.
 
...mkojo hauwezi nifanya nimuache mke.

Unanikumbusha watu wenye fetish ya mikojo, huiita golden showers na hu-enjoy kukojoleana, duhh, sasa kama hao ataacha mke kwa kukojolewa kweli? nadhani anaweza kuacha mke kwa kuto-kukojolewa.
 
Hivi ngoja nikuulize, unaweza kumwambia mkeo aende nje akatafute wanaume kwa sababu amedai unyumba ambao unampaga kama dawa ya surua na pale wewe utakapo!

Ok mke ulipomwambia hivyo akajinyamazia kimya bila ungomvi wowote, akawa anasubiria mpaka hamu yako itakapokupanda uende kuomba mambo. Then ukifika unaanza kumshikashika kama vile hutaki, na yeye anakuambia hana hamu. Kwa uselfish wako unajiinukia nakuondoka zako. Hivi kwa maneno hayo au matendo yaho utaendelea kumpenda huyu mtu wala kumtamani.

Tuwe wakweli jamaa tuache unafiki, maana mpaka kufikia hapa ujue maji yamefika shingoni.

Mrs Mtaba anasema hivi:

1.Kwa kawaida anashiriki tendo la ndoa na mume wake mara chache sana,chini ya mahitaji yake ya kimwili.

2.Akimchokoza Mr Mtaba, anapata jibu kuwa mwenzake amechoka au hajisikii.

3.As a result Mrs Mtaba anaugulia mno (kwa maumivu ya uchu, lakini anajichoma maji ya moto na mambo yanapoa.)... teh ....teh

4.Siku Mr Mtaba akijisikia, anamgusa Mrs Mtaba, lakini sio kwa yale mashamushamu anayotarajia Mrs , as a result, Mrs Mtaba hajisiki lolote.

5.Mr Mtaba kwa kuona hilo kuwa mkewe hasisimki, anaamua kugeukia upande wa pili na kuutafua usingizi ulipo.

Mrs Mtaba
Situation kama hizo zipo kwenye ndoa nyingi,sio tatizo la kukufanya umkimbie mumeo.
Nini cha kufanya:

1.Chukua muda utafakari malengo mliyoweka katika famila yako, kama huyo mwenzako anaweza kuyafikia.Kwani wakati mwingine expectations zako zinaweza kuwa juu mno kuliko hali halisi na pressure unayomwekea ni kubwa na zaidi LAWANA NA KEJELI ni nyingi mno kwake, pale anaposhindwa kufanikisha malengo hayo au dharura za hapa na pale.

2.Kaa na Mr Mtaba mzungumzie maisha yenu kwa ujumla wake.What challenges inazoface katika familia,(perform your own SWOT Analysis) kwani MAISHA MAGUMU yanapoteza sana hamu ya kufanya mapenzi.

3.Tazama majukumu yako kama mke yapo sawasawa? in terms of KUMWANDALIA MZEE MAJI,CHAKULA n.k hata kama wewe si mama wa nyumbani, jaribu kurudi mapema na kujifanya kama wewe ni NYUMBA NDOGO yake.

Yote hayo yakifanyika na hakuna reaction yeyote kwenye hiyo ndoa yenu,then sina la zaida la kusema.NAWAACHIA WALIMWENGU WA JF WASEME.
 
Inaonekana hamkupendana kwa dhati mlioana sababu ya kitu fulani. Tengeneza maisha yako, jaribu kujikeep busy ili usiwe unamfikiria. Kama unatujihela twako katafute kiwanja uanze kujenga au kama unaweza kusoma we soma tu itakupunguzia mawazo.
 
Pole sana kwa yanayokusibu. Njia pekee na rahisi ya kumfanya mumeo akuache 'leo leo' ni kuanza kuwa kikojozi. Hakuna mwanaume aliyetayari ku-share kitanda na mwanamke kikojozi. Nina imani njia hii itakusaidia. Goodluck
Hii nzuri ila sasa kwangu ni kinyume chake, haya sasa!
 
naona unatafuta mauti! wewe kama unaona ndoa imekuwa ndivyo sivyo
ni bora kuanza mbele. haya mambo ya kumfanyia visa mumeo akuache
unaweza kuwa unamsukuma achukue hatua mbaya kuliko. si unajua
tena maudhi mengine mmh.
 
Pole sana dadangu, wewe kama unataka kuachwa nenda kalete kidume ndani ya nyumba.
Then ulinganishe nani zaidi. Kila la heri.
 
Katauni said:
Pole sana kwa yanayokusibu. Njia pekee na rahisi ya kumfanya mumeo akuache 'leo leo' ni kuanza kuwa kikojozi. Hakuna mwanaume aliyetayari ku-share kitanda na mwanamke kikojozi. Nina imani njia hii itakusaidia. Goodluck

Hii nzuri ila sasa kwangu ni kinyume chake, haya sasa!

Kwa hiyo unamaanisha kuwa Mr.Mtaba ni kikojoziiiii......?
 
Back
Top Bottom