Kupumlia mashine: Sasa siyo tetesi, ukimya Wa Majadiliano Makinikia ni jibu tosha

Kama patapatikana ukweli kwahili linalozungumzwa , basi haiwezekani akapona mtu hivi hivi hata awe mkubwa kiasi gani, lazima tumtake mtu ajiuzulu au atumbuliwe, ili tukomeshe hizi tabia kwasababu kuna siku mtu mmoja au kikundi cha watu kitaiingiza nchi kwenye majanga ya maangamizi au maafa kwa utashi wao - hilo hatutalikubali. Ngoja kwanza tuone mwisho wa hili ndio tutaongea vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli utabaki ukweli, Na sheria itabaki sheria,Hakika tulikuwa tunaibiwa kama Taifa, sote tunahitaji kujua hilo, kinanachojadiliwa ni kwakiwango gani ukweli unavyotumika kuwa ukweli kwa kukuzitumia sheria,Na kwa vipi wataalamu wetu walivyodanganywa kwenye huu mchezo wa mikataba ya dhahabu,kama Watanzania tutapata funzo kubwa kwenye Haya makinikia wanayotuaminisha kuwa kiwango kikubwa Ni udongo, Watanzania tunasema hapana kiwango kikubwa ni Dhahabu, Ni kwa Imani yangu hapo ndiyo watalaamu wetu wanaposimamia,Iwe tulidanganywa Ni jambo lingine lazima tupate ukweli wapi wanatudanganya, kama wanadanganya waendelee kudanganya? Hoja Ni kwamba Hatutaki kudanganywa tena, kushindwa hakupo kama walikuwa wananganya hakijalishwi kiwango cha udanganyifu, tujadili kwa nini walitudanganya? Huu mwanzo wakutodanywa tena, nadhani wamebezi wazalendo ndiyo wanachofanya,Watanzania tujiamini Wataalamu wetu naimani watatumia ufahamu wao vizuri kupata ukweli wakitalaamu siyo wakisheria tu, yale Ni madini walihusishwa Ni wataalamu fani husika lazima watapata ukweli usio nashaka, Na udhaifu kisheria utaonyeshwa wazi hii ndiyo kazi inayofanyika.lazima Kama taifa tusubiri wale waliokwenye kamati hiyo lazima ni Watanzania makini, kwanini tunajenga utamaduni kila jambo linalofanywa na Watanzania wezetu lionekane la hovyo, kwa makinikia kila mtanzania anataka tupate ukweli kushindwa hakupo, Ukweli utabaki Ukweli
 
We jamaa utakuwa ni usalama Wa taifa, maana tetesi zako zimekuja kuwa kweli
 
Back
Top Bottom