Kupotezeana muda kukome

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,550
44,703
Kikubwa kuliko yote mkikubaliana na binti wa watu usichukue muda mrefu kufunga ndoa.

Uchumba ni kifungo cha hiari ambacho kinaweza kuleta matunda ya kufunga ndoa au kuleta maumivu kwa kutofunga ndoa kuachana.

Hivyo kupotezeana muda katika uchumba kukome kabisa na kulaaniwa na watu wote.Huyo ni ibilisi anaharibu maisha ya watu.
 
mimi mwanamke huwa namwambia kabisa kuwa sina mpango wa kuoa na huwa sidate na mwanamke mwenye 25+ sitaki kumpotezea mda mtu
 
We Ni Mgonjwa sio bure.. !!
Hakuna kitu "kupotezewa muda" kwenye mapenzi..
 
Eti kuna mtu kaninong'oneza kasema "Mgonjwa humjua mgonjwa mwenzake"

Sikatai maana kwa logic hiyo hata matabibu Watakua Ni wagonjwa pia.. nnacho amini mapenzi Ni kama vita.. there is no right or wrong, Kama UMEPENDA na umeamua kukaa kwenye mahusiano manake umekubaliana na yote ikiwa Ni pamoja na kuachwa.. Mapenzi Ni hisia jaman, na hisia hua zinabadilika kulingana na uelewa wa mtu na uwezo wake wa kupambanua mambo!!
 
Kikubwa kuliko yote mkikubaliana na binti wa watu usichukue muda mrefu kufunga ndoa.

Uchumba ni kifungo cha hiari ambacho kinaweza kuleta matunda ya kufunga ndoa au kuleta maumivu kwa kutofunga ndoa kuachana.

Hivyo kupotezeana muda katika uchumba kukome kabisa na kulaaniwa na watu wote.Huyo ni ibilisi anaharibu maisha ya watu.

UNAMWACHA ANAYEKUPENDA UNAMFATA ASIYEKUPENDA ETI KISA NDOA *********
 
Back
Top Bottom