Kupoteza fahamu wakati ukifanya mapenzi

Nasiche

JF-Expert Member
Jun 18, 2019
291
732
Habari kwenu Wana Jf doctor

Kuna kitu kimenitokea ila siwezi kuelezea vizuri halafu Sina wa kumuuliza .

Hii Hali iliwahi kunitokea twice, imejirudia Jana wakati wa kusex Kuna mahali nashikwa nasikia raha ambayo Haina kipimo ghafla nakuwa Kama nimepoteza fahamu nikija kushtuka nakuwa sisikii tena either utamu au uchungu.

Hii ndio nini wapendwa ndio kufika kileleni au Maana Mimi sijui kufika kileleni kukoje, nasikiaga wengine wanakojoa ila Mimi sijawahi
 
Ndio umefika Uhuru peak! Ila ulikua hauamini kilichotokea ukakosa kupewa cheti!
Ungekazia huo utamu hormone ya dorpamine ingeachiliwa nyingi kwenye damu ungepewa cheti

Ila uliharibu kupotezea
Sijaelewa nilitakiwa nifanyeje
 
Sijaelewa nilitakiwa nifanyeje
Cheza na ubongo wako! Kufika peak sio sababu ukutane na dushe likubwa au mechi iwe ndefu!
Ni wewe tu umeamuaje unaweza kunwa dakika 20 ukasema kesho tufunge ndoa!
Just feel Ile pleasure unayopata more and more!

Mimi sio ke Ila nimeshakutana kwenye mechi na ma ke wanafanya hivyo
 
Sehemu Gani Ukishikwa Ndiyo Hujielewi
Eleza Vema Upate Msaada, Kuna Watu Wengine Ni Wataalam Ila Wakiona Thread Umejieleza Kifupi

Hawana Muda Wa Kuuliza Lolote Wanapita Wanakwenda
 
kama mimi ni mtaalamu wa afya za uzazi lakini nilikiwa tayari napita zangu naenda...comment hii ndiyo imenifanya nibaki kidogo nisubirie majibu nione kama kuna userious... nianze kutema madini
 
Unajua Mkuu
Hapa Msaada Upo Mzuri Sana, Changamoto Ni Sisi Wauliza Maswali/Wenye Shida Hatujui Namna Nzuri Ya Kuwasilisha
Tatizo/Jambo Linalotusibu, Wataalam Wengine Ni Kama Wewe

Umeshindwa Kutoa Msaada Thread Haijitoshelezi Pia Unaweza Kumuuliza Maswali Asijibu Kwa Wakati

Kwenye Hili Jukwaa Kuna Thread Zinaelekeza Namna Ya Kujieleza Ili Upate Msaada Haraka
 
Habari kwenu Wana Jf doctor

Kuna kitu kimenitokea ila siwezi kuelezea vizuri halafu Sina wa kumuuliza .

Hii Hali iliwahi kunitokea twice, imejirudia Jana wakati wa kusex Kuna mahali nashikwa nasikia raha ambayo Haina kipimo ghafla nakuwa Kama nimepoteza fahamu nikija kushtuka nakuwa sisikii tena either utamu au uchungu.

Hii ndio nini wapendwa ndio kufika kileleni au Maana Mimi sijui kufika kileleni kukoje, nasikiaga wengine wanakojoa ila Mimi sijawahi
Kumbe jana umechepuka ,asante kwa kutulingishia cc ambao tupo tupo tu, maana kuna njia nyingi sana ya kufikisha ujumbe .
 
Daaa umenikumbusha mwaka 2015 Arusha hyo niliopoa binti mmoja hvi,kufika getho chezea Sana ghafla tu yule binti akazima daaaaa asikwambie mtu,niliukumbuka ule wimbo wa 'kafia getho' aiseee nilichokifanya nikaanza kazi ya kuokoa uhai wake kwa kumpatia huduma ya kwanza,baada ya lisaa na dakika zake akazinduka ananiuliza nini kimetkea,kuanzia siku ile nikakata mazoea aiseee
 
Habari kwenu Wana Jf doctor

Kuna kitu kimenitokea ila siwezi kuelezea vizuri halafu Sina wa kumuuliza .

Hii Hali iliwahi kunitokea twice, imejirudia Jana wakati wa kusex Kuna mahali nashikwa nasikia raha ambayo Haina kipimo ghafla nakuwa Kama nimepoteza fahamu nikija kushtuka nakuwa sisikii tena either utamu au uchungu.

Hii ndio nini wapendwa ndio kufika kileleni au Maana Mimi sijui kufika kileleni kukoje, nasikiaga wengine wanakojoa ila Mimi sijawahi
Nasiche haya ndiyo mambo ya Bwana Frank kukupoteza fahamu?
 
Habari kwenu Wana Jf doctor

Kuna kitu kimenitokea ila siwezi kuelezea vizuri halafu Sina wa kumuuliza .

Hii Hali iliwahi kunitokea twice, imejirudia Jana wakati wa kusex Kuna mahali nashikwa nasikia raha ambayo Haina kipimo ghafla nakuwa Kama nimepoteza fahamu nikija kushtuka nakuwa sisikii tena either utamu au uchungu.

Hii ndio nini wapendwa ndio kufika kileleni au Maana Mimi sijui kufika kileleni kukoje, nasikiaga wengine wanakojoa ila Mimi sijawahi
Ndiyo wewe hapo kwa Avatar?
 
Heart disease
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom