Kupotelewa vitambulisho

Samwel Ngulinzira

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
1,829
1,957
Ndugu wanajukwaa nimepoteza vitambulisho vifuatavyo
1. Kadi ya mpiga kura Samwel N. Ngulinzira
2.bima ya afya Samwel nicolaus
3. PPF ID Nicholaus ngulinzira Samwel.
Vimepotea mjini Kahama. Taarifa iko polisi kwa RB namba AR/RB/7658/18. Kwa yeyote atakayeviona atoe taarifa polisi au apige simu namba 0757999209. ASANTENI SANA
 
usichelewe kwenda polisi, wanaweza wasikusaidie kuvipata ila ni kwa usalama wako, mtu mwingine anaweza kuvitumia kufanya uharifu kesi ikawa yako. ni muhimu sana kwenda kuandikisha polisi
 
usichelewe kwenda polisi, wanaweza wasikusaidie kuvipata ila ni kwa usalama wako, mtu mwingine anaweza kuvitumia kufanya uharifu kesi ikawa yako. ni muhimu sana kwenda kuandikisha polisi
Nashukuru mkuu, nmeripoti polisi na mmepewa RB.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom