Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,405
Jana nimemsikia Mbunge wa Mbeya Mjini Mh Sugu akipayuka kuhusu kupotea kwa Katibu myeka wa Mkiti wa chadema Taifa Ndg Ben Saanane.
Kwasababu ile ilikuwa taarifa rasmi ya kambi ya upinzani bungeni nilitarajia wangekuja na hoja mpya ya uchunguzi kutusaidia angalau fununu alipo Ben Saanane kupitia vyanzo vyao vya Habari.
Lakini kilichozidi kaniudhi zaidi ni kurudia porojo zilezile ambazo tumekuwa tukizisikia kila Mara ambazo Hazina tija ktk kupatikana kwa kijana huyo.
Kwa mtizamo wangu nadhani Kuna viongozi ndani ya CHADEMA wanaofurahia kutokuwepo kwa kijana huyo na sasa wamegeuza suala Hili mtaji wa siasa.
Make kama ni suala la vitisho kwa kupitia simu sisi Waandishi wa Mitandao tunatishwa sana, kama ni namba za simu kupigiwa Au kutumiwa SMS kwa watu wanaondika Mitandaoni hasa maswala ya siasa ni Jambo la kawaida Sana, hata jana mchana mdogo wangu Augustine Chiwinga alitishiwa kwa SMS na mfuasi mashuhuri wa CHADEMA Kwamba asingeonekana ndani ya masaa sita kwasababu alimsema tajiri mpya wa Chama hicho.
Kwahiyo uamini vitisho kwa SMS siyo swala la mashiko hata kidogo ni hoja mfu.
Ben Saanane alikuwa ofisa mwandamizi wa chadema akiwa katibu myeka wa Mkiti Taifa huyu mtu kwanafasi yake alikuwa muhimu kwa Chama hasa ikizingatiwa kuwa alikuwa na Siri nyingi Za Chama lazima atakuwa ni mtu aliyepimwa na kuthibitishiwa uadilifu wake na imani yake kwa Chama kwa mantiki hiyo alipaswa kupewa Ulinzi maalum na vitengo vya Ulinzi wa viongozi na hata kufuatiliwa nyendo zake Za Mara kWA marafiki zake anaowasiliana nao Ili asije akawa anatoa Siri za Chama kwa watu wasiyohusika,ilikuwaje mtu huyu aachwe aishi mitaani bila Ulinzi wa Chama na hasa ikizingatiwa kuwa alishawai kupata vitisho?
Kutokana na nafasi yake ndani ya Chama kama mshauri wa mwenyekiti naamini hata ndani ya Chama chake Ben Saanane alikuwa na baadhi ya Wanachama,viongozi na hata watendaji wenzanke Pengine ambao hawakutaka kumwona Ben Katk nafasi ile na kwa sisi tunayoifahamu chadema je siyo hata ndani ya Chama chake hawawezi kumpoteza?
Mimi Bado ninamsimamo wangu vyombo vya dola wanapaswa kufanya uchunguzi ndani ya chadema ili kumaliza kadhia hii make wengine Tunapata maswali mengi Sana kichwani.
Katibu myeka akae wiki mbili Hauonekani ofisini bosi wake ashtuki wala walinzi wa mwenyekiti hawashtuki kuulizia bosi wao anayewapangia ratiba ya msafara wa bosi.
Katibu myeka ndiyo bosi WA wafanhakazi wote ndani ya ofisi ya mwenyekiti Inakuwaje hata Kikosi Cha Ulinzi wa mwenyekiti hawakushtuka hata kidogo walipokosa kutomwona ndani ya wiki mbili?
Je walikuwa wanapata wapi taarifa ya kila siku ya msafara na shughuli Za mwenyekiti? Je walikuwa wanaruhusuje Wageni kukutana na mwenyekiti bila kupewa taarifa na katibu myeka wa bosi wao? Napata maswali mengi Sana kupotea kwa Ben kutoka kwa uongozi wa chadema na kitengo cha Ulinzi wa viongozi chadema.
[HASHTAG]#MboweTunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG].
Na Frey Cosseny