Kupotea 'kutekwa' kwa Nondo: Picha iliyotengenezwa kishamba

Kama Mshana anavyosema hizi mbinu siyo mpya. Nakumbuka miaka kama 4 iliyopita yalikuwa yanatokea sana na nilisikia ni jamaa mmoja aliyekuwa anajulikana kuyafanya na nilisikia alikuwa ndani ya ofisi fulani ya umma.

Personally namjua mtu mmoja alifanyiwa hivi, akaja kupatikana asubuhi yake hajitambui maeneo ya Buguruni huko.

Ni either wanakupulizia kitu au kwa mtazamo wangu toka nisikie tukio lile inawezekana wanakufanyia hypnosis.
 
Ktk covert mission/ ujasusi hakuna kitu kibaya kama mistakes.....kwani huacha traces ambazo unaweza kuzi-track....ukifuatilia hapa utaona hizo mistakes kadhaa haswa aina ya tukio kutekwa au kujiteka ..... Timings ya tukio..... kuanzishwa kwa threads na aina ya uchangiaji,..... aina ya wachangiaji na comments zao kwa muda...kasi ya matukio na kadhalika.....
Shotcomings
. Signal za simu/ reply back zilikuwa zinasemaje? Namba haipatikani? Simu imezimwa!? Au namba iko barred?
. Msg zinazosemekana alikuwa anapanga tukio la kujiteka zilikuwa za saa ngapi? Alikuwa anatumia kina nani? Wako kwenye phonebook yake? Kwa muda gani? Ni akina nani? Walikuwa wanamjibu nini?
. Footage ya kupanda kwenye bus, wakati wa safari na wakati wa kushuka.....
. Yeye mwenyewe ana maelezo gani!? Je anajichanganya? Akili yake iko sawa? Hababaiki? Simu zake ziko wapi? Kakutwa nazo!?
. ile taharuki na macho yaliyojaa hofu ni halisi au anajifanyisha? Kama ni halisi ni kwanini?
. Kwanini mpaka sasa hajapewa nafasi ya kuongea mwenyewe mbele ya wote ili asimulie kwa hakika nini kilitokea?
. je mahali 'alipookotwa' kuna kituo cha bus? Je new force wanaweza kuthibitisha kwa hakika kuwa walimshusha hapo? Ushahidi wa camera je!?
. Detection kwenye aina ya uandishi... Je msg alizokuwa anatuma ndio aina ya uandishi wake?
Weledi wa upelelezi unaweza kutumia hizi clues
 
Ameshahukumiwa....
IMG_20180310_035240_708.jpg
 
Kama Mshana anavyosema hizi mbinu siyo mpya. Nakumbuka miaka kama 4 iliyopita yalikuwa yanatokea sana na nilisikia ni jamaa mmoja aliyekuwa anajulikana kuyafanya na nilisikia alikuwa ndani ya ofisi fulani ya umma.

Personally namjua mtu mmoja alifanyiwa hivi, akaja kupatikana asubuhi yake hajitambui maeneo ya Buguruni huko.

Ni either wanakupulizia kitu au kwa mtazamo wangu toka nisikie tukio lile inawezekana wanakufanyia hypnosis.
Hata Dr Ulimboka alijiteka mwenyewe na mwandishi wa mwananchi, Azory, amejiteka mwenyewe pia.. Sasa nimeamini kuwa suala la UJITEKAJI katika nchi hii linaelekea kuwa sugu, hivyo inahitajika dawa ya kudumu kutatua tatizo hili.
 
Shotcomings
. Signal za simu/ reply back zilikuwa zinasemaje? Namba haipatikani? Simu imezimwa!? Au namba iko barred?
. Msg zinazosemekana alikuwa anapanga tukio la kujiteka zilikuwa za saa ngapi? Alikuwa anatumia kina nani? Wako kwenye phonebook yake? Kwa muda gani? Ni akina nani? Walikuwa wanamjibu nini?
. Footage ya kupanda kwenye bus, wakati wa safari na wakati wa kushuka.....
. Yeye mwenyewe ana maelezo gani!? Je anajichanganya? Akili yake iko sawa? Hababaiki? Simu zake ziko wapi? Kakutwa nazo!?
. ile taharuki na macho yaliyojaa hofu ni halisi au anajifanyisha? Kama ni halisi ni kwanini?
. Kwanini mpaka sasa hajapewa nafasi ya kuongea mwenyewe mbele ya wote ili asimulie kwa hakika nini kilitokea?
. je mahali 'alipookotwa' kuna kituo cha bus? Je new force wanaweza kuthibitisha kwa hakika kuwa walimshusha hapo? Ushahidi wa camera je!?
. Detection kwenye aina ya uandishi... Je msg alizokuwa anatuma ndio aina ya uandishi wake?
Weledi wa upelelezi unaweza kutumia hizi clues
Maelezo ya original thread yako ni kama yanaonesha POSSIBILITY and not REALITY ya bus la NEW FORCE kutumika kumsafirisha "mtekwaji" hadi Iringa .... lakini comment yako hapo juu sasa yaonesha REALITY and not POSSIBILITY ya bus tajwa kutumika kumsafirisha "mtekwaji" ...
kiongozi waweza ombwa KUISAIDIA POLISI
 
Mara ya ngapi zaidi ya hizo clues hapo!? Au ni mpaka wanione live!? Kama ni kwa muktadha wa kulisaidia jeshi letu... Wanitumie tu ticket next flight nitakuwa niko angani kuja huko bongo
 
Mshana jr,
Uchambuzi wako umekwenda ndani kabisa juu ya yanayowezekana kufanywa na watekaji wa Kiongozi Nondo.

Na ile ya Kiongozi wa wanafunzi Nondo kulalamika mara kwa mara kwa wiki kadhaa anafuatiliwa na watu ''wasiojulikana'' ilikuwa ni steji ya mwanzo ya mkakati mkubwa wa ''wasiojulikana'' kumteka kiongozi wa mtandao wa wanafunzi (Turejee malalamiko ya Tundu Lissu kufuatiliwa).

Halafu utasikia watu wanauliza je Nondo aliripoti Polisi?
  • Sasa tujiulize Nondo kama aliripoti Polisi ni hatua gani zilichukuliwa na chombo hiki cha usalama wa raia.
  • Je alipewa ulinzi ''kivuli'' ili angalau Polisi wafahamu /wabaini ni kina nani walikuwa wanamfuatilia huyu kiongozi?!
  • Je Polisi walijitahidi kujua ni watu aina gani walionekana kila mara wakija, kuingia na kutoka au kubaki bila shughuli ya kueleweka kila mahali alipo kiongozi huyu wa wanafunzi.
  • je, Abiria wa basi la New Force wote ''waliosafiri safari hiyo ya kilometa 563 ya masaa 8 na kiongozi Nondo waliweza kutambuliwa ni kina nani na wamehojiwa kwa kina dhumuni na sababu za safari zao?
  • Wakati wa ''kuchimba dawa'' au kupata chakula kama basi lilisimama kwa muda waliweza kumwona Kiongozi Nondo akipata huduma hizo?
  • n.k
 
Hivi huyo Nondo ana wasifu gani mpaka atekwe?.. yaani ni nani..? Waache kutekwa watu wote atekwe yeye (najiuliza).

Sitaki kumhukumu ila experience yangu ya Vijana wa Daruso pale tabia za kutafuta kiki na passion za kijinga nazifahamu vema mno.

Kuzingatia nafasi yake, labda awe ametekwa tuu na wahuni huko wa mtaani kwao ila sio serikali maana kama ingekuwa yenyewe ingereact tofauti kabisa..

Kama alipanga ili apate kiki ni vema akashikishwa adabu kwa mujibu wa sheria
haya hawezi kutekwa
 
Huenda alitumwa na haohao wakina bashite nyuma ya pazia.Ilibidi atii bila shuruti kufanya hayo maigizo maana nasikia huko porini aliokotwa na kada wa CCM.
Na hapa ndo picha la Kihindi linapoharibika. Yaani steering anakufa watu wanasubiri msukule wake hautokei. Muokotaji anasema alitumiwa msg na mhanga, lakini hawajawahi kuonana wala hawafahamiani, hiyo namba Mhanga aliitoa wapi kama siyo watekaji watuma msg kabla ya kumtupa Saohill? Au ni wazi muokotaji alikuwa Gari moja na Muhanga. Hizi picha director wake anafanya makosa kila movie lakini wenye akili hatukosi kuzikosoa.
 
Hivi huyo Nondo ana wasifu gani mpaka atekwe?.. yaani ni nani..? Waache kutekwa watu wote atekwe yeye (najiuliza).

Sitaki kumhukumu ila experience yangu ya Vijana wa Daruso pale tabia za kutafuta kiki na passion za kijinga nazifahamu vema mno.

Kuzingatia nafasi yake, labda awe ametekwa tuu na wahuni huko wa mtaani kwao ila sio serikali maana kama ingekuwa yenyewe ingereact tofauti kabisa..

Kama alipanga ili apate kiki ni vema akashikishwa adabu kwa mujibu wa sheria
Hivi Akwilina alikuwa nani??? Mpaka risasi ikaenda juu ikarudi then ikakataa kona ikampiga yeye na umauti ukamkuta palepale.
 
Mshana jr,
Uchambuzi wako umekwenda ndani kabisa juu ya yanayowezekana kufanywa na watekaji wa Kiongozi Nondo.

Na ile ya Kiongozi wa wanafunzi Nondo kulalamika mara kwa mara kwa wiki kadhaa anafuatiliwa na watu ''wasiojulikana'' ilikuwa ni steji ya mwanzo ya mkakati mkubwa wa ''wasiojulikana'' kumteka kiongozi wa mtandao wa wanafunzi (Turejee malalamiko ya Tundu Lissu kufuatiliwa).

Halafu utasikia watu wanauliza je Nondo aliripoti Polisi?
  • Sasa tujiulize Nondo kama aliripoti Polisi ni hatua gani zilichukuliwa na chombo hiki cha usalama wa raia.
  • Je alipewa ulinzi ''kivuli'' ili angalau Polisi wafahamu /wabaini ni kina nani walikuwa wanamfuatilia huyu kiongozi?!
  • Je Polisi walijitahidi kujua ni watu aina gani walionekana kila mara wakija, kuingia na kutoka au kubaki bila shughuli ya kueleweka kila mahali alipo kiongozi huyu wa wanafunzi.
  • je, Abiria wa basi la New Force wote ''waliosafiri safari hiyo ya kilometa 563 ya masaa 8 na kiongozi Nondo waliweza kutambuliwa ni kina nani na wamehojiwa kwa kina dhumuni na sababu za safari zao?
  • Wakati wa ''kuchimba dawa'' au kupata chakula kama basi lilisimama kwa muda waliweza kumwona Kiongozi Nondo akipata huduma hizo?
  • n.k
Hivi Akwilina alikuwa nani??? Mpaka risasi ikaenda juu ikarudi then ikakataa kona ikampiga yeye na umauti ukamkuta palepale.
kaka umechambua vizuri sana,
Asante sana mshana jr
 
Back
Top Bottom