Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 6,993
- 8,916
Ulitokaje tokaje,nini kilikuwa kimekuzuia?Nilipoyea siku 3 porini wakati nipo darasa la tano, kisa ka mbwa tu...home wakaweka tanga siku ya 3 na mm nikaingia usiku wake *****, sitosahau, zaidi ya saa 72 nimekwama eneo ambalo naona nimezingukwa na mto mm nipo kati kati na mbwa wangu wa3, mto umetengeneza duara alafu mto una ngema za maana, siku nakuja pata akili ya kutoka pale ninsiku ya tatu alfajiri, hapo nishakula sana majani na matunda pori dilijui hata moja, mbwa wamekonda, wamekuwa wapole, mm tumbo limeingia ndani, dah hii siwezi sahau kabisa, ule ulikuwa ni ulimwengu mwingine kabisa.