Kupostpone mwaka wa masomo chuo mda huu nimechelewa?

da irritant boy

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
402
436
habari yenu gr8t thinkers mimi nlichaguliwa SUA 4th round lakini baada ya kwenda kureport nkaambiwa deadline imeshapita,nkaamua kurudi nyumbani baada ya hapo kuna m2 akanambia inabidi nkareport then ndo niahirishe mwaka.kwa hiyo kama kuna mtu anajua utaratibu wa chuo SUA kuahirisha mwaka anisaidie maana naogopa kupoteza tena nauli......,au hata kunipatia contacts za SUA itasaidia sana..god bless you all
 
habari yenu gr8t thinkers mimi nlichaguliwa SUA 4th round lakini baada ya kwenda kureport nkaambiwa deadline imeshapita,nkaamua kurudi nyumbani baada ya hapo kuna m2 akanambia inabidi nkareport then ndo niahirishe mwaka.kwa hiyo kama kuna mtu anajua utaratibu wa chuo SUA kuahirisha mwaka anisaidie maana naogopa kupoteza tena nauli......,au hata kunipatia contacts za SUA itasaidia sana..god bless you all
Pole kwa hilo Mkuu
General inquiries: 023 2603511-4.
Kama utapiga kwa simu ya mkononi, cheka bombastic mitandao yote (Voda) inapiga hadi ttcl landline,Jirushe ya airtel haikubali na mitandao mingine sijui.
Soma thread hizi:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/425640-kuhusu-wale-waliohairisha-mwaka-wa-masomo-chuo.html

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/543293-msaada-please.html

Download prospectus ya SUA kwa maelezo zaidi.
http://www.suanet.ac.tz/docs/SUAPROSPECTUS2012-2013.pdf

7.0

POSTPONEMENT AND RESUMPTION OF STUDIES

7.1
A candidate requesting for postponement of studies for compelling reasons including
inability to pay fees shall submit to the Deputy Vice-Chancellor (Academic), a duly
completed request form (
Form No. II
) with a cover letter and supporting documents.
Reply to such request shall be expected within two weeks of submission.
7.2
Postponement of studies shall be for the duration of one semester or one academic unit.
Under special circumstances, the postponement of studies can be extended for only one
additional academic unit. Such extension shall only be provided when supported by
relevant documents. A candidate staying out of the University beyond two years or without
permission after the first postponement of studies shall cease to be a

bona fide
SUA
student and can only rejoin the University after re-admission as a fresh candidate.
7.3
A candidate shall be allowed to resume studies after submitting his/her application which,
where applicable, is supported by evidence of capability to resume and undertake studies.
Permission for resumption of studies shall be granted by the Deputy Vice Chancellor
(Academic) or any other authority as permitted by the Vice Chancellor.
7.4
A candidate shall be allowed to resume studies in the semester for which permission was
granted.
7.5
A candidate permitted to postpone studies shall retain his/her registration and hence
registration number, but shall be required to pay appropriate fees and meet the costs of
production of identity card and any other documents which relate to the re-admission
process.
22
7.6
A candidate permitted to postpone studies shall be required to hand in the identity card and
other University properties to relevant authorities within two weeks from the date of
granting of permission. A candidate who would not have fulfilled the condition sha
 
Oh ahsante alpha1 mungu akupe nini jamani,nitapiga kesho simu hyo na ntakupa majibu,mungu akubariki sana
 
Huna lolote ww njaaa tu ndo inakusumbua

Inasikitisha kuona kipimo cha busara yako hakikukidh kuwa timamu,kumbuka maneno ni kipimo cha busara muda mwingine fikiri kabla ya kunena.kiboko fikiri mara ya pil
 
Back
Top Bottom