Kuporomoka kwa Utalii Tanzania 2009

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Wakati wizara ya mali asili na utalii, chini ya mpendwa mama Zakia, iliongeza kiwango cha ada za kuingia katika hifadhi zetu kwa zaidi ya asilimia 100. Mfano, toka tozo la dola 30 hadi dola 60 kwa kuingia kwa siku moja kilimanjaro. Tozo la kambi lilikuwa dola 20 kwa usiku mmoja likapanda hadi kufikia dola 50 kwa usiku mmoja. Kwa mahesabu ya haraka haraka mgeni anatakiwa alipe dola za kimarekani 110 kwa siku, acha mbali gharama kama za uokoaji, ingawa waokoaji ni porters wa kampuni mbalimbali wanapewa tu amri kuwa ni lazima wamrudishe majeruhi ama mfu toka Kilimanjaro. Ukifanya hesabu utaona kuwa lazima tumtoze mtalii anayepanda kilimanjaro dola siyo chini ya 1100 kwa safari ya siku 6 ili tuweze kulipa Porters, Guides na wapishi. Wengi wa watalii wanaopanda Kilimanjaro ama kwenda mbuga zetu ni watu wa kipato cha kawaida kabisa. Ni matajiri wachache sana wanaoweza kupanda mlima huu kwa sababu hawana muda wala nafasi ya kufanya hivyo. Wanaopanda na wenye muda wa kusafiri na kufanya haya ni hawa watu wa kati kabisa na wamedunduliza kwa kipindi kirefu sana. Sasa tunapokuja kwa kigezo cha kupunguza idadi ya watalii kwa kuongeza bei ni kuua uchumi wa nchi na kupunguza ajira kwa vijana wetu.
Hata hizo kampuni kubwa tulitegemea zilete wageni wengi lakini ni wachache sana. Nenda pale Machame gate au Marangu gate angalia idadi ya Wageni kwa siku, utashangaa
Tuliwahi kumwambia Waziri kuwa utalii utashuka sana na hawa vijana wabeba mizigo watatafuta njia mmbadala ambayo sio AJABU wakawa vibaka.

Hapa chini ni e mail toka kwa mmoja wa ma-agent wangu toka Norway.

"Hi

I am a little worried about next year on Kilimanjaro. I only have 2 clients so far.
Compared to all my other trips, this is very little. The financial crisis has definitely made my customers go for my other expeditions, which are much cheaper. Kilimanjaro is by far my most expencive trip.

You have to put pressure on the tourist-official down there. The prices are now so high for permits on Kilimanjaro and for the safari, that it is very difficult to sell this trip right now. I just had a telephone call with a colleague of mine yesterday, who is running a similar company in Norway, and he tell me that exactly the same thing is happening with his company.

Down below I have listed up my expeditions, the price for the expedition and the price divided by each day we are travelling.
You see clearly that the price for Kilimanjaro is extremely much higher pr. day than my other trips. All prices in Norwegian kroner (NOK).

TRIP PRICE PRICE PR. DAY. CLIENT BOOKED FOR 2009/2010
Kilimanjaro 35 900,- 2990,- 2
Atlas-mountain 16 900,- 1536,- 7
Everest Base Camp 33 900,- 1540,- 9
Elbrus 24 900,- 1915,- 14
Aconcagua 2010 38 500,- 1480,- 12
Inca Trail 33 900,- 1994,- 53
Spitzbergen 15 900,- 1766,- 14

As you can see on the number of clients booked for 2009 and 2010 (so far) Kilimanjaro is my least popular trip.
Of course I hope that I will have some more clients booking in the next few months, as january and february is my main booking period for Kili.

The way the government down there suck money out of the tourist is horrible, both on Kili and safari.
We paid close to 10 000 US$ for the Kilimanjaro permit for my last group (15 people).
10 000 US$ !!!!!! That is just insane to climb a mountain...

To be honest I dont have much profit on Kilimanjaro anymore, not compared to the first years of business.

It is specially bad when we all see that none of this money is beeing spent on the mountain. The roads are terrible, the toilets are terrible, and the so called clean-up expeditions are a joke!!! I dont understand what the national park authorities really are doing - and where they put all the money...
As you understand I am a little frustrated.....

The bottom line is that we have to do whatever we can to reduce the price for Kilimanjaro in the future.
I will also have to look closely on my program to see if we can do anything, for instance go back to 2-day safari and so on.
I really dont want to go down to 6-day expeditions on the mountain, I think 7 days are absolutely necessary for good acclimatization.

Ok, we must just hope things will be better in the future, and that the permit fees will go down."

Je huu ndo mwanzo wa kuporomoka kwa utalii Tanzania? Tufanye nini ili kuokoa janga hili?
 
Kazi tunayo. Je wizara husika inalitambua hilo? Hivi bei zenu zilipangwa kuzingatia vigezo vipi?? Je wadau wa utalii walihusishwa katika upangaji wa bei?? Manake kwa kipindi hiki kuna tatizo la Credit Crunch katika bara la ulaya na america na tumeona serikali zao zimepunguza kodi mbali mbali na kuziondoa zingine kwa muda mfana VAT ya UK imepunguzwa kwa 2.5%. Na hii imepelekea bei za vitu mbali mbali kupungua. Sasa sijuhi serikali yetu haiwezi kuangalia mambo katika nyanja hizi? Manake kama wanawapa tax holiday kwa makampuni ya uchimbaji wa vito na wawekezaji wengine je kwa nini wasipunguze hizi ada kulingana na hali ya soko? Kwa wafanyabiashara makini sio demand na supply pekee inaathiri biashara bali na bei ya huduma/bidhaa pia. Nadhani imefika muda muafaka kwa Wizara husuki kuliangalia ili kwa umakini,
 
Hii ya utalii ni noma kubwa,wahusika mnalichukuliaje,maana msipoangalia tumekwisha, na wenzetu watakuwa wanafanikiwa tukiona kwa macho yetu.Nafikiri kuna uvivu wa kufikiri,mnafikiria kuongeza viwango vya ada tu,badala ya kuongeza idadi ya watalii?mnafikiri mbuga zetu ziko zenyewe? Mnafikiri ugumu wa maisha ni kwetu, mnafikiri wanawaza matumizi tu? Fungukeni mawazo,mnalikosesha taifa mapato,ajira za watu ziko mashakani na wengine pengine wameshapunguzwa kazi.Unajua kwanini wahindi wanauza sana kwenye maduka yao?hawatafuti faida kubwa sana, na hakai na bidhaa,sisi akina mollel, masawe na msuya tunataka faida kubwa,hatuangalii bidhaa itakaa kwa muda gani dukani.samahani kwa kutumia majina ya koo hizi maarufu za kaskazini mwa tz,ni mfano.Walahhi nakuambi nikiona nafuu sh 100 nitaikimbilia sijui wewe mwenzangu,labda uwe fisadi wa kutupa.Nina hasira na mambo mambo yanavyoenda katika nchi.MUNGU NAOMBA UISAIDIE TZ,TUPATE WATU WENYE UCHUNGU NA MASILAHI YA TAIFA.
 
Kazi tunayo. Je wizara husika inalitambua hilo? Hivi bei zenu zilipangwa kuzingatia vigezo vipi?? Je wadau wa utalii walihusishwa katika upangaji wa bei?? Manake kwa kipindi hiki kuna tatizo la Credit Crunch katika bara la ulaya na america na tumeona serikali zao zimepunguza kodi mbali mbali na kuziondoa zingine kwa muda mfana VAT ya UK imepunguzwa kwa 2.5%. Na hii imepelekea bei za vitu mbali mbali kupungua. Sasa sijuhi serikali yetu haiwezi kuangalia mambo katika nyanja hizi? Manake kama wanawapa tax holiday kwa makampuni ya uchimbaji wa vito na wawekezaji wengine je kwa nini wasipunguze hizi ada kulingana na hali ya soko? Kwa wafanyabiashara makini sio demand na supply pekee inaathiri biashara bali na bei ya huduma/bidhaa pia. Nadhani imefika muda muafaka kwa Wizara husuki kuliangalia ili kwa umakini,

Hakuna atakayeangalia hili ndugu yangu. Kwa mfano Kenya wana Masai Mara ambayo ni Serengeti huku kwetu lakini uliza park fees yao ni $15 per day. Wanyama ni walewale. Sijui kwa nini wanajifanya hawaoni athari hii. Pia nina wasiwasi na washauri wa wizara zetu.
Hata hivyo angalao Mh. Pinda ameliona mzigo kwa serikali yetu kumiliki mashangingi.
 
Wakati wizara ya mali asili na utalii, chini ya mpendwa mama Zakia, iliongeza kiwango cha ada za kuingia katika hifadhi zetu kwa zaidi ya asilimia 100. Mfano, toka tozo la dola 30 hadi dola 60 kwa kuingia kwa siku moja kilimanjaro. Tozo la kambi lilikuwa dola 20 kwa usiku mmoja likapanda hadi kufikia dola 50 kwa usiku mmoja. Kwa mahesabu ya haraka haraka mgeni anatakiwa alipe dola za kimarekani 110 kwa siku, acha mbali gharama kama za uokoaji, ingawa waokoaji ni porters wa kampuni mbalimbali wanapewa tu amri kuwa ni lazima wamrudishe majeruhi ama mfu toka Kilimanjaro. Ukifanya hesabu utaona kuwa lazima tumtoze mtalii anayepanda kilimanjaro dola siyo chini ya 1100 kwa safari ya siku 6 ili tuweze kulipa Porters, Guides na wapishi. Wengi wa watalii wanaopanda Kilimanjaro ama kwenda mbuga zetu ni watu wa kipato cha kawaida kabisa. Ni matajiri wachache sana wanaoweza kupanda mlima huu kwa sababu hawana muda wala nafasi ya kufanya hivyo. Wanaopanda na wenye muda wa kusafiri na kufanya haya ni hawa watu wa kati kabisa na wamedunduliza kwa kipindi kirefu sana. Sasa tunapokuja kwa kigezo cha kupunguza idadi ya watalii kwa kuongeza bei ni kuua uchumi wa nchi na kupunguza ajira kwa vijana wetu.
Hata hizo kampuni kubwa tulitegemea zilete wageni wengi lakini ni wachache sana. Nenda pale Machame gate au Marangu gate angalia idadi ya Wageni kwa siku, utashangaa
Tuliwahi kumwambia Waziri kuwa utalii utashuka sana na hawa vijana wabeba mizigo watatafuta njia mmbadala ambayo sio AJABU wakawa vibaka.

Hapa chini ni e mail toka kwa mmoja wa ma-agent wangu toka Norway.

"Hi

I am a little worried about next year on Kilimanjaro. I only have 2 clients so far.
Compared to all my other trips, this is very little. The financial crisis has definitely made my customers go for my other expeditions, which are much cheaper. Kilimanjaro is by far my most expencive trip.

You have to put pressure on the tourist-official down there. The prices are now so high for permits on Kilimanjaro and for the safari, that it is very difficult to sell this trip right now. I just had a telephone call with a colleague of mine yesterday, who is running a similar company in Norway, and he tell me that exactly the same thing is happening with his company.

Down below I have listed up my expeditions, the price for the expedition and the price divided by each day we are travelling.
You see clearly that the price for Kilimanjaro is extremely much higher pr. day than my other trips. All prices in Norwegian kroner (NOK).

TRIP PRICE PRICE PR. DAY. CLIENT BOOKED FOR 2009/2010
Kilimanjaro 35 900,- 2990,- 2
Atlas-mountain 16 900,- 1536,- 7
Everest Base Camp 33 900,- 1540,- 9
Elbrus 24 900,- 1915,- 14
Aconcagua 2010 38 500,- 1480,- 12
Inca Trail 33 900,- 1994,- 53
Spitzbergen 15 900,- 1766,- 14

As you can see on the number of clients booked for 2009 and 2010 (so far) Kilimanjaro is my least popular trip.
Of course I hope that I will have some more clients booking in the next few months, as january and february is my main booking period for Kili.

The way the government down there suck money out of the tourist is horrible, both on Kili and safari.
We paid close to 10 000 US$ for the Kilimanjaro permit for my last group (15 people).
10 000 US$ !!!!!! That is just insane to climb a mountain...

To be honest I dont have much profit on Kilimanjaro anymore, not compared to the first years of business.

It is specially bad when we all see that none of this money is beeing spent on the mountain. The roads are terrible, the toilets are terrible, and the so called clean-up expeditions are a joke!!! I dont understand what the national park authorities really are doing - and where they put all the money...
As you understand I am a little frustrated.....

The bottom line is that we have to do whatever we can to reduce the price for Kilimanjaro in the future.
I will also have to look closely on my program to see if we can do anything, for instance go back to 2-day safari and so on.
I really dont want to go down to 6-day expeditions on the mountain, I think 7 days are absolutely necessary for good acclimatization.

Ok, we must just hope things will be better in the future, and that the permit fees will go down."

Je huu ndo mwanzo wa kuporomoka kwa utalii Tanzania? Tufanye nini ili kuokoa janga hili?

Wakati naleta mada hii mwezi December ilikuwa kama utani. Leo hii nimesikia toka redioni kuwa baadhi ya Kampuni ama zimepunguza wafanyakazi na nyingine mishahara imepunguzwa. Kwa mujibu wa TATO miji kama Zanzibar Dar na hata hotel za kitalii zilizoko kwenye mbuga zetu hazina bookings. Wanasema booking zimepungua kati ya asilimia 30 hadi 60.
Huu ni mzigo mkubwa kwa Tanzania. Kama wizara husika isipochukua hatua za haraka basi itakuja kutugharimu sana huko mbeleni. Kwa mwaka huu hatuna tena cha kufanya maana tayari wengi wa watalii wameishapanga ni wapi watakwenda kwa mwaka huu. Kilichobaki ni kujaribu angalao kupunguza bei kwa ajili ya mwaka 2010. Sijui wizara husika kama wanaliona hili.
 
Eka Mangi,
asante kwa kuleta hii mada,
Kama kawaida, itachukua mamlaka husika karne nzima kutafakari hili swala na hatua inaweza isichukuliwe kabisa kunusuri utalii katika kipindi hiki kigumu.Hii ndiyo shida ya kuweka sera na taratibu bila kufanya upembuzi yakinifu wa kutosha na kulinganisha faida na hasara ya kuchukua hatua fulani.Walipoongeza hizo ada bila shaka walikuwa na sababu ya kufanya hivyo.Je kwa sasa wamesha review kuona hali ilivyobadilika?
Utalii Tanzania hauko competitive ukilinganisha na Kenya, au hata kwa sasa Uganda na Rwanda ambao wanajitahidi sana.Mahoteli ya Tanzania bado hayatoshelezi - hivyo yanakuwa ghali ( ili kumudu kulipa gharama na kodi mbalimbali) Ukija kwenye usafiri ndiyo usiseme.Watang'anga'nia kuweka viwango vikubwa na matokeo yake hata kile kidogo watakosa kabisa.
Tanzania AMKA!
 
Bwana Mangi,

Wizara ya Maliasili na Utalii haifanyi lo lote kuboresha utalii. Na Idara ya wanyamapori nayo ndiyo inaruhusu ujangili uendelee na nyara kuvushwa nje.
 
Hakuna atakayeangalia hili ndugu yangu. Kwa mfano Kenya wana Masai Mara ambayo ni Serengeti huku kwetu lakini uliza park fees yao ni $15 per day. Wanyama ni walewale. Sijui kwa nini wanajifanya hawaoni athari hii. Pia nina wasiwasi na washauri wa wizara zetu.
Hata hivyo angalao Mh. Pinda ameliona mzigo kwa serikali yetu kumiliki mashangingi.

umeshaona tofauti ya tiketi (cost) ya ndege destination dar/Kili Vs destination NBO.....hapo ndio utachoka
 
..........It is specially bad when we all see that none of this money is beeing spent on the mountain. The roads are terrible, the toilets are terrible, and the so called clean-up expeditions are a joke!!! I dont understand what the national park authorities really are doing - and where they put all the money.............

Hilo hapo juu ndio moj aya matatizo yetu makubwa........hata unajiuliza hizi kodi zinafanya kazi gani............i mean kulipa inawezekana sio tatizo...lakini na product iwe inaridhisha basi.............

PRODUCT YA SERVICE INDUSTRY YETU NI VERY POOR.....there is no way we can prosper in this industry in the way we operate our tourist attractions.....NO WAY!

Hebu mpeni hiyo Wizara Magufuli....pengine kutakuwa na hope
 
Mojawapo ya vigezo wanavyosema eti ni KUPUNGUZA MSONGAMANO WA WATU HUKO KWENYE MBUGA ZETU ILI KULINDA MAZINGIRA! Hili waliambiwa na WFP nao waka copy na kupest tu bila kuangalia madhara yake. Kwani Kenya hakuna WFP? Kwa nini wasiwaambie Kenya wakakimbilia Tanzania. Eti wasipofanya hivyo walivyoambiwa watanyimwa misaada! Aibu tupu.
Kwanza usafi wenyewe wanaoufanya ni waongoza watalii wenyewe.
Kuna kitu inaitwa TITO (trash in trash out). Kilimanjaro kwa mfano unapima uchafu tangu unaanza mpaka siku ya mwisho. Ole wako usionyeshe uchafu uliokusanya huko mlimani.
Cjui tutafika wapi,, Magufuli naye hatoweza mwenyewe,,,,ila viongozi wafungue macho sasa.
 
Back
Top Bottom