Kupongeza ni jambo rahisi kila mtu anaweza lakini kukoso ni ujasili wachache tu wanaweza.

lukoma

JF-Expert Member
Jul 1, 2013
2,988
2,000
Je, tukupongeze kwa kupongeza au tukupongeze kwa ujasili wa kukosoa?

Kimsingi kupongeza ni jambo rahisi sana ambalo kila mtu anaweza kwa sababu halihitaji akili nyingi, usomi au utajili wa mali ndiyo maana tunaona wanaopongeza wako watu wa level mbali mbali kwa sababu wanaunganishwa na ukawaida wao. Kupongeza sio kipaji/talent.

Kwa upande wa pili, kukosoa ni ujasiri ambao unahitaji kupongezwa. Mtu anayeweza kukosoa hasa kwa jambo la muhimu kwa faida ya mwengi anastahili kupongezwa. Sio watu wote wanaweza kuwa na ujasiri hivyo sio watu wote wanaweza kukosoa.

Jasili mwenye uwezo wa kukosoa anauwezo wa kupongeza lakini anaepongeza asiyejasiri, watu wa kawaida hawawezi kosoa!

Je, tumpongeze yupi mkosoaji au mpongezaji?
 
kiparangwaya

JF-Expert Member
Apr 16, 2017
529
1,000

Lumumba hawataelewa hilo andiko!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom