Kupokelewa Lowassa: UVCCM yahoji ni nani aliye msafi kama sufi na mkamilifu ndani ya CCM?

Aisee-- kwahiyo amekiri kabisa kuwa chama chao kimejaza mafisadi papa". Halafu bado wananchi wa tz kauli kama hiyo waneifumbia macho..... no wonder hao majamaa wanawaona wa-Tanzania mazwazwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Baba wa taifa mwl jk Nyerere alisha sema upinzani wa kuiondoa ccm madarakani utaanzia ndani ya ccm na wakati ndiyo huu sasa

In God we trust
 
Aliyewahi kuwa msafi ni Nyerere tu kwani akuwahi hata kununua baiskeli akapeleka kijijin kwao kwa kuiba kodi zetu .kodi zetu zilikuwa Salama enzi za Nyerere tu
 
Safi sana Babu amejua kuwachezesha CDM na CCM hadi wameweza kuongea kauli moja hakuna anaeza kumuongelea vibaya wamebaki kusifia tu,kweli siasa ni unafki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Lowassa kiboko, amewachezesha maadui wawili wa kisiasa na sasa wote wanaongea lugha moja juu yake, ccm waliunda mahakama ya mafisadi target ilikuwa Lowassa, sasa tangu imefunguliwa haijawahi kumpandisha mtuhumiwa hata mmoja kizimbani, nahisi sasa huenda itafungwa au itabadilishiwa jina na matumizi
 
Uvccm wawauliza wale wanaohoji juu ya kupokelewa kwa mh Lowassa katika chama chao, Ni nani aliye mkamilifu ndani ya CCM?

Source: Habari za magazetini....Clouds 360!
Haya ni mahoka. Mamvi alivyokuwa cdm hili hawakulijua???? Kawaziba midomo aibu yao. Leo wote waliomnanga na kumtukana kajinyea, mara mgonjwa, fisadi mkubwa etc kimya!!!!!!! Mbona hasemi neno? Pushup zilipigwa kuthibitisha kuwa wao ni wazima. Jamani siasa mbaya sana.
 
Kweli Lowassa kiboko, amewachezesha maadui wawili wa kisiasa na sasa wote wanaongea lugha moja juu yake, ccm waliunda mahakama ya mafisadi target ilikuwa Lowassa, sasa tangu imefunguliwa haijawahi kumpandisha mtuhumiwa hata mmoja kizimbani, nahisi sasa huenda itafungwa au itabadilishiwa jina na matumizi
Ha ha ha!!!!
 
Kitilya kapangiwa huko kesi yake wameona wasafishe vumbi
 
Safi sana Babu amejua kuwachezesha CDM na CCM hadi wameweza kuongea kauli moja hakuna anaeza kumuongelea vibaya wamebaki kusifia tu,kweli siasa ni unafki.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu Mzee ni borntwon mjini kitambo ni mafia naona I wish I could be atachezewa mchezo atoamini 2020 sijui ataweka wapi sura yake na mtaani keshaharibu,Yetu macho
 
Back
Top Bottom