Kupokelewa Lowassa: UVCCM yahoji ni nani aliye msafi kama sufi na mkamilifu ndani ya CCM?

Aisee-- kwahiyo amekiri kabisa kuwa chama chao kimejaza mafisadi papa". Halafu bado wananchi wa tz kauli kama hiyo waneifumbia macho..... no wonder hao majamaa wanawaona wa-Tanzania mazwazwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nilichoka kwa kweli maana ana kili kabisa kwamba ile ripoti ya uchunguzi wa mali za ccm imejaa ufisadi wa viongozi karibu wote wa ccm, anasema ndio maana hawajalishughulikia sababu yaliyomo katika ripoti ile yanatisha
 
Yaani nilichoka kwa kweli maana ana kili kabisa kwamba ile ripoti ya uchunguzi wa mali za ccm imejaa ufisadi wa viongozi karibu wote wa ccm, anasema ndio maana hawajalishughulikia sababu yaliyomo katika ripoti ile yanatisha
Ana kili = anakiri
 
Safi sana Babu amejua kuwachezesha CDM na CCM hadi wameweza kuongea kauli moja hakuna anaeza kumuongelea vibaya wamebaki kusifia tu,kweli siasa ni unafki.

Sent using Jamii Forums mobile app
... jamaa baada ya kudaiwa "mchafu" kaenda kwa walewale waliodai ni mchafu; wakamwogesha ila wale wengine wakadai "kajinyea". Kuona hivyo karudi tena kule walikodai ana kinyesi saa hizi wako kazini kumtawaza na kumvisha nguo mpya na mchezo utakuwa umeisha atabaki SAFI.
 
Uvccm wawauliza wale wanaohoji juu ya kupokelewa kwa mh Lowassa katika chama chao, Ni nani aliye mkamilifu ndani ya CCM?

Source: Habari za magazetini....Clouds 360!
Kwa kauri hiyo wanatuaminisha sisi watanzania kuwa ccm iliingia madarakani kwa bahati mbaya au kwa mlango wa uwani

In God we trust
 
Mh.Kheri yupo sahihi Kama Mtu kaweza kuteuliwa Kuwa Mgombea Urais wa Ukawa inawezekanaje Ukawa walivyo Na uchungu Na Nchi Hii wateuwe Mgombea Mwenye makando kando?
Napata tabu kuamini kama Msukuma na polepole walio mtukana huyo mzee sasa watakubaliana na hao uvccm

In God we trust
 
Kumbe SI Unit ya usafi iko UKAWA, labda ndiyo maana kila anayehamia CCM kutoka UKAWA lazima apewe cheo.
Mwenyekiti wa ccm naona kuna watu anawapa fundisho kuwa usitukane mamba wakati hujavuka mto

In God we trust
 
Hahahaha jana nimemsikiliza yule mwenyekiti wa uvccm akitetea Lowassa kupokelewa ccm kwa hoja kuwa ccm hakuna aliye msafi

Akasema wakianza kutajana uchafu wa kila mmoja hatabaki mtu.

Kingine kilicho niacha hoi ni kwamba kuna ripori ya ukaguzi wa mali za ccm iliyofanyika mwaka jana, anasema ripoti ile imejaa madudu ya viongozi, na akasema hakuna aliyewajibishwa maana viongozi wote wamejaa uchafu na makando kando mengi

Nilivyomuelewa mwenyekiti huyo wa uvvcm ni kwamba ccm imeoza yote hakuna aliye msafi, kwahiyo Lowassa alipata uhalali wa kuwa mwanaccm sababu chama kizima kimeoza, hivyo hakuna wa kumnyooshea kidole mwenzie
Huyo dogo anajiamini kwa kuwa ni msukuma?

In God we trust
 
Makongoro Mahanga, Edward Lowassa, Lawrence Masha, Ole medeye, Juma Duni, wote Hawa walipokuja Chadema wazawa waliwekwa Pembeni
Hao wote ulio wasema tushawafukuza kwenye chama chetu sasa zigo limetua ccm hadi mnavuana nguo hadharani bila aibu kuwa chama kizima hakuna aliye msafi!

In God we trust
 
Back
Top Bottom