Donasian kabengo
JF-Expert Member
- Jul 29, 2016
- 792
- 405
ShwainiMtapata tabu sana, kwan kuna ubaya gani rais akienda kuipokea.
Mbona Mwenyekiti wa taifa na Cabinet yake walienda kuzika mbwa wa Nassari lakini Ukerewe hawakwenda?
Kupanga ni kuchagua kama unaona ni vibaya rais kupokea lala tu nyumban au fanya mambo yako.
Sent using Jamii Forums mobile app