Kupokea Ndege kufanywa ni tukio la kitaifa ni ushamba, tunachoreshana..

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,432
7,055
Mimi sio mpinga maendeleo. Ninasapoti kwa asilimia zote maamuzi chanya yenye lengo la kukuza uchumi wa taifa hili changa. Ukiwemo uamuzi huu wa kufufua Shirika la Ndege kwa kununua ndege 7. Kongole Serikali!

Hata hivyo, kuna mambo yanatutia aibu. Mojawapo ni hili la mapokezi ya hizi ndege kufanywa kuwa ni tukio special sana la kitaifa. Kwa lugha ya mtaani tunasema ni 'kuchoreshana'.

Kwa dunia ya sasa, hata kama tulikuwa hatuna, sio fahari kuitangazia dunia kwamba tunasubiri ndege airport, tena tukiongozwa na Rais!? Sijaona Kenya wakifanya, Ethiopia, South Africa, Nigeria, Rwanda na kokote kunakotuzunguka. Mambo gani haya?

Halafu mbaya zaidi, siku zote hizi za mapokezi ni lazima RAIS ahudhurie kama mgeni rasmi. Ni kuonesha kwamba it is our top priority for now as a nation. Really? Waziri na watu wachache wangetosha sana kutuwakilisha. Na hakuna ulazima wa kufanya live coverage kwenye redio na televisheni.

Huko baadae zitakuja treni za kisasa, tutafanya hivi pia?
 
Halafu mbaya zaidi, siku zote hizi za mapokezi ni lazima RAIS ahudhurie kama mgeni rasmi. Ni kuonesha kwamba it is our top priority for now as a nation. Really? Waziri anatosha sana.

Huko baadae zitakuja treni za kisasa, tutafanya hivi pia?
Naona aibu mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema mmeshindwa kujenga hata kaofisi ka vyumba vitatu wivu tu unawasumbua mkuu wa nchi kushusha madege. Kamwambieni mkiti wenu sie tunaenda airport kupokea Mali za nchi, na mzee wa miga toka atoke nchini hatushitakiwi, ndo ujue mchawi nani.
Wasiopenda maendeleo waende kujifungia ufipa ila cha ajabu utawakuta wanakodoa kideoni kuisubiri na kumsikiliza amiri jeshi mkuu.
Na hakuna mtu anayemsikiliza sana mheshimiwa Raisi zaidi ya hawa mawakala wa mabeberu, najua wanamuelewa sana ila midomo yao tu mizito.
 
Mimi sio mpinga maendeleo. Ninasapoti kwa asilimia zote maamuzi chanya yenye lengo la kukuza uchumi wa taifa hili changa. Ukiwemo uamuzi huu wa kufufua Shirika la Ndege kwa kununua ndege 7. Kongole Serikali!

Hata hivyo, kuna mambo yanatutia aibu. Mojawapo ni hili la mapokezi ya hizi ndege kufanywa kuwa ni tukio special sana la kitaifa. Kwa lugha ya mtaani tunasema ni 'kuchoreshana'.

Kwa dunia ya sasa, hata kama tulikuwa hatuna, sio fahari kuitangazia dunia kwamba tunasubiri ndege airport, tena tukiongozwa na Rais!? Sijaona Kenya wakifanya, Ethiopia, South Africa, Nigeria, Rwanda na kokote kunakotuzunguka. Mambo gani haya?

Halafu mbaya zaidi, siku zote hizi za mapokezi ni lazima RAIS ahudhurie kama mgeni rasmi. Ni kuonesha kwamba it is our top priority for now as a nation. Really? Waziri na watu
wachache wangetosha sana kutuwakilisha. Na hakuna ulazima wa kufanya live coverage kwenye redio na televisheni.

Huko baadae zitakuja treni za kisasa, tutafanya hivi pia?

Mtazamo: Taifa linashuka hadhi kuwa sawa na shirika la ndege km. Ethiopian Airlines , KLM South African Airlines nk.
 
Mtapata tabu sana, kwan kuna ubaya gani rais akienda kuipokea.
Mbona Mwenyekiti wa taifa na Cabinet yake walienda kuzika mbwa wa Nassari lakini Ukerewe hawakwenda?
Kupanga ni kuchagua kama unaona ni vibaya rais kupokea lala tu nyumban au fanya mambo yako.
Ukigeuza ccm ndiyo akili yako lazima hoja zije kihivi. Hoja zingine za hivi nimezisikia bungeni hasa wakati wa kupitisha miswada ya kuibeba ccm. Hata wasomi wetu wengi wakishaingia ccm utasikia hoja zao za hivi! Masikini nchi yangu Tanzania! Kwa nini kila hoja njema ya kitaifa huonekana imetolewa na upinzani? Naiunga mkono hoja ya aliyewahi kusema nchi wamekabidhiwa washamba wa kisiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio mpinga maendeleo. Ninasapoti kwa asilimia zote maamuzi chanya yenye lengo la kukuza uchumi wa taifa hili changa. Ukiwemo uamuzi huu wa kufufua Shirika la Ndege kwa kununua ndege 7. Kongole Serikali!

Hata hivyo, kuna mambo yanatutia aibu. Mojawapo ni hili la mapokezi ya hizi ndege kufanywa kuwa ni tukio special sana la kitaifa. Kwa lugha ya mtaani tunasema ni 'kuchoreshana'.

Kwa dunia ya sasa, hata kama tulikuwa hatuna, sio fahari kuitangazia dunia kwamba tunasubiri ndege airport, tena tukiongozwa na Rais!? Sijaona Kenya wakifanya, Ethiopia, South Africa, Nigeria, Rwanda na kokote kunakotuzunguka. Mambo gani haya?

Halafu mbaya zaidi, siku zote hizi za mapokezi ni lazima RAIS ahudhurie kama mgeni rasmi. Ni kuonesha kwamba it is our top priority for now as a nation. Really? Waziri na watu wachache wangetosha sana kutuwakilisha. Na hakuna ulazima wa kufanya live coverage kwenye redio na televisheni.

Huko baadae zitakuja treni za kisasa, tutafanya hivi pia?
Mi mwanzo nikakujua labda ni ushamba tu pengine atazoea kumbe wapi..
 
Chadema mmeshindwa kujenga hata kaofisi ka vyumba vitatu wivu tu unawasumbua mkuu wa nchi kushusha madege. Kamwambieni mkiti wenu sie tunaenda airport kupokea Mali za nchi, na mzee wa miga toka atoke nchini hatushitakiwi, ndo ujue mchawi nani.
Wasiopenda maendeleo waende kujifungia ufipa ila cha ajabu utawakuta wanakodoa kideoni kuisubiri na
kumsikiliza amiri jeshi mkuu.
Na hakuna mtu anayemsikiliza sana mheshimiwa Raisi zaidi ya hawa mawakala wa mabeberu, najua wanamuelewa sana ila midomo yao tu mizito.

Sasa imeshakuwa CHADEMA vs TANZANIA !?
 
Halafu mbaya zaidi, siku zote hizi za mapokezi ni lazima RAIS ahudhurie kama mgeni rasmi. Ni kuonesha kwamba it is our top priority for now as a nation. Really? Waziri na watu wachache wangetosha sana kutuwakilisha. Na hakuna ulazima wa kufanya live coverage kwenye redio na televisheni.

Kwani amealikwa ama ndie aliyewaalika wengine kwenye tukio hilo?

Sasa sijui kama kuselebuka kutaendelea kama kawaida na zile 'percussion' za kuvuja mtu jasho zipo! Akina Majaliwa mwaka huu vitambi vitayeyuka kwa 'phyico' za hali ya juu.

Ngoja basi nikuchochee kidogo labda tutaelewana au kama sio kuvurugana kabisa kwa hoja yako hii:
"Hii ni Tanzania mpya" unaelewa maana yake? Kampeni ndio hizo shaanza, waliolala usiwaamshe.

'Interest' ni hayo tu mkuu, tusilaumiane kwa mchanganyo.
 
Mimi sio mpinga maendeleo. Ninasapoti kwa asilimia zote maamuzi chanya yenye lengo la kukuza uchumi wa taifa hili changa. Ukiwemo uamuzi huu wa kufufua Shirika la Ndege kwa kununua ndege 7. Kongole Serikali!

Hata hivyo, kuna mambo yanatutia aibu. Mojawapo ni hili la mapokezi ya hizi ndege kufanywa kuwa ni tukio special sana la kitaifa. Kwa lugha ya mtaani tunasema ni 'kuchoreshana'.

Kwa dunia ya sasa, hata kama tulikuwa hatuna, sio fahari kuitangazia dunia kwamba tunasubiri ndege airport, tena tukiongozwa na Rais!? Sijaona Kenya wakifanya, Ethiopia, South Africa, Nigeria, Rwanda na kokote kunakotuzunguka. Mambo gani haya?

Halafu mbaya zaidi, siku zote hizi za mapokezi ni lazima RAIS ahudhurie kama mgeni rasmi. Ni kuonesha kwamba it is our top priority for now as a nation. Really? Waziri na watu wachache wangetosha sana kutuwakilisha. Na hakuna ulazima wa kufanya live coverage kwenye redio na televisheni.

Huko baadae zitakuja treni za kisasa, tutafanya hivi pia?
Upo sahihi, tunaonekana washamba sana, waziri alikuwa anatosha, Rais alipopokea dreamliner ilitosha kabisa. Sasa kila ndege tunapokea nama coverage kibao. Duh!!
 
Mtapata tabu sana, kwan kuna ubaya gani rais akienda kuipokea.
Mbona Mwenyekiti wa taifa na Cabinet yake walienda kuzika mbwa wa Nassari lakini Ukerewe hawakwenda?
Kupanga ni kuchagua kama unaona ni vibaya rais kupokea lala tu nyumban au fanya mambo yako.

wee kweli "ngulijinga"...ona sasa umejibu inje ya mada kama Job wako
 
Back
Top Bottom