KIGHERA
Member
- Nov 19, 2010
- 84
- 27
Habari za j2 wana Jf nimependa ku share na nyie hii ishu kwa yeyote mwenye uelewa anijuze.
Nimekuwa naona matangazo mengi ya kazi hasa ya serikali yanahitaji barua ya kuomba kazi uipitishe kwa mwajiriwa wako, jambo hili limekuwa linanikera sana na sometime nakuwa siendelei kuomba kazi za hivyo kwa sababu 2.
(1) Waajiri wengi hasa serikalini ma bosi wengi wanoko na wana majungu,akiona unampitishia barua ya kuomba mara ya kwanza ,ya pili anaanza kujua unawakimbia na majungu yanaanza na nna ushahidi ulishamtokea m2 ninayemfahamu.
(2) Kuomba kazi ni kama probability sio guaranteed kuwa exactly utaipata,hivyo naona niendelee kupitisha barua then nikikosa kila siku kwenye vikao naweza kuwa mfano.
Ndo maana nikasema huwa sipendi matangazo ya hivyo,sasa napenda mnijuze dhumuni lao ni lipi la kusema upitishe barua kwa mwajiri.
Na je nikituma barua hivyo hivyo pasipo na kupitisha kwa mwajiri (ambae tayari nilishamtaja kwenye cv) ombi langu wata lizingatia.? kuna m2 alishatuma bila kupitisha kwa mwajiri wake wakamconsider?
Yangu ni hayo tu.