Kupitia hii a.k.a ( Jina la Utani ) la huyu ' Ustaadh ' unagundua Kipaji gani Kilichojificha ndani yake na muhimu katika Jamii?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,054
107,538
Anaitwa Ustaadhi Hassan Thabit a.k.a Mgonga Bure. Naomba tuifanyie Kazi hiyo a.k.a yake tafadhali ili tuweze kuona ana Kipaji gani ambacho kina umuhimu wake katika Jamii yetu na labda Wanadamu wengine tunatakiwa tumuige kwa manufaa yetu.

Nawasilisha.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom