Ontama
Senior Member
- Jul 24, 2019
- 136
- 96
Ni masaa tu, kutoka Sasa watatangazwa wale wanaoitwa wamepita bila kupingwa hapa Kila nikijaribu kutafakari Jambo hili nahisi kizungu zungu na niheri kingelikuwa kihindi Hindi, hebu tujiulize wapendwa ikiwa hata maraika was mbinguni waliona kuwa ipohaja ya kutofautiana mawazo na mtazamo, Leo inawezekana vp sisi binadamu tuliojaa dhambi tukubalike kwa %100 yaani eti Kuna watu waliopita bila kupingwa!
Ikiwa hate mitume amboa kwa kupitia wao hata tumeijuwa imani, walipofika duniani walikutana na upinzani nao wakaishi nao Tena kwa upendo mkubwa ,
Vp sisi je nikweli tumeraaniwa?!
Yesu alikumbana na wapinzani wake ambao hata walijalibu kumzulru yeye hakujali yote hayo, zaidi yayote aliwaombea kwa mungu ili wapate msamaha kwa maana hawajui watendalo, vp kuhusu sisi,
Je nikweli tumefeli hata tushindwe
kuwapa nafasi sawa kwenye jukwaa la siasa,