Uchaguzi 2020 Kupita bila kupingwa ni utamaduni ambao hata malaika hakubaliani nao

Ontama

Senior Member
Jul 24, 2019
136
96
Ni masaa tu, kutoka Sasa watatangazwa wale wanaoitwa wamepita bila kupingwa hapa Kila nikijaribu kutafakari Jambo hili nahisi kizungu zungu na niheri kingelikuwa kihindi Hindi, hebu tujiulize wapendwa ikiwa hata maraika was mbinguni waliona kuwa ipohaja ya kutofautiana mawazo na mtazamo, Leo inawezekana vp sisi binadamu tuliojaa dhambi tukubalike kwa %100 yaani eti Kuna watu waliopita bila kupingwa!

Ikiwa hate mitume amboa kwa kupitia wao hata tumeijuwa imani, walipofika duniani walikutana na upinzani nao wakaishi nao Tena kwa upendo mkubwa ,
Vp sisi je nikweli tumeraaniwa?!

Yesu alikumbana na wapinzani wake ambao hata walijalibu kumzulru yeye hakujali yote hayo, zaidi yayote aliwaombea kwa mungu ili wapate msamaha kwa maana hawajui watendalo, vp kuhusu sisi,

Je nikweli tumefeli hata tushindwe
kuwapa nafasi sawa kwenye jukwaa la siasa,
 
Na jiwe alisema anaweza kuongoza hadi malaika, kwaiyo hao malaika wasipokubali watakua sio wazalendo na nilazima wanatumiwa na mabeberu..
 
Kama wapinzani walikimbia kwani tusifurahie hata yesu shetani alivyomshindwa akiwa amefuga siku 40 alikimbilia kuzimu na yesu akaachana naye akaendelea kutenda kazi

Hapa wapinzani(shetani)wamekimbilia kuzimu (kujiondoa kwenye uchaguzi) CCM (yesu) itaendelea kutenda kazi (kuwatumikia wanachi)

State agent
 
Unapatikana tz pekee duniani.Kupita bila kupingwa ni sawa na viti maalumu .Ni kitendo cha kuwanyima wananchi haki ya kumchagua mwakilishi wao na kuwachagulia
 
Kwenye wananchi takribani 50M, kupita bila kupingwa ni ushahidi tosha kuwa unaishi SHENZISTAN.
Leo inawezekana vp sisi binadamu tuliojaa dhambi tukubalike kwa %100 yaani eti Kuna watu waliopita bila kupingwa!
 
Kama wapinzani walikimbia kwani tusifurahie hata yesu shetani alivyomshindwa akiwa amefuga siku 40 alikimbilia kuzimu na yesu akaachana naye akaendelea kutenda kazi

Hapa wapinzani(shetani)wamekimbilia kuzimu (kujiondoa kwenye uchaguzi) CCM (yesu) itaendelea kutenda kazi (kuwatumikia wanachi)

State agent
Jifunze jinsi ya kuandika.
 
Mfumo wa vyama vingi ulianzishwa na CCM. Kwahiyo unataka kutuambia kuwa CCM ilizaa mtoto shetani (Upinzani)?Shetani mamake na babake ni mashetani pia.Kwahiyo CCM ni Shetani Kubwa lililozaa mtoto shetani(Upinzani)?

Back
Top Bottom