Kupinduliwa matokeo ya uchaguzi wa Rais huko Kongo, Kabila ajiingiza mtegoni.

Kabila "Kongo kwanza hayo mengine baadae" fisi ni fisi tu, awezi kuwa kondoo. Viongozi wa kiafrika wote wanafanana haijalishi anatoka upinzani au chama tawala, wote ni mafisi.. BORA TU AMANI

Sent using Jamii Forums mobile app
sure mkuu ni afadhari tuwarudishe wakoloni weusi waje wawe wanatucharaza bakora maana tumeshindwa kabisa kujiongoza
 
Hayo mamlaka ya kujumlisha kura walipewa na nani tena wakaleta mpaka raia wa kigeni kuja kufanya hujuma matokeo ya kura tunambiwa mwenye mamlaka ni tume tu nec ndiyo wanaruhusiwa
Mbona CCM walikuwa na poll center yao pale mlimani city na hadi january akatangaza magufuli anaongoza kwa mbali sana ilihali tume ilikuwa haijatoa matokeo hata 20% ila hamkuhoji?? Hao wageni si consultants tu wa IT na ndio maana mlipofungua kesi wakakutwa hawana hatia yeyote sasa hizi tuhuma za kupika data umezitoa wapi?? Ina maana unajua sana hiyo kesi kuliko mahakama iliowaachia huru??
 
Hivi wewe unamini kabisa Lowassa alishinda?

Ukweli ni kwamba kule upande pili ukivuka maji kuna uwezekano asilimia kama zote vile Jecha alitengeneza picha kama la Tshisekedi la DRC.
Lowassa alishinda hilo hata CCM wanalifahamu watafute viongozi wake kina kinana hao ukae nao watakupa ukweli wa mambo usisubiri mitandaoni huku..... Ni wazi CCM ilichukiwa sana 2015 hata kampeni zilionyesha hivo na hata kura alizopata lowassa kwa mujibu wa NEC haikuwahi patikana tokea uhuru kwa wapinzani so hatuhitaji kudebate kufeli kwa CCM.

Kuhusu zanzibar mtego uliowekwa ni kumpa viti kibao baraza la wawakilishi alafu Urais wakamnyima so mtego ukawa akikubali matokeo ya wawakilishi itambidi akubali na ya Urais na akikataa ya Urais basi akatae na uwakilishi..... Mjanja sana kaepuka huo mtego akawaachia uchaguzi wenu na kipi kimebadilika zanzibat toka awaachie chama chenu?? Mmesolve kero za muungano? 2020 mtawaeleza nini wazenji??

CCM na kabila hawama tofauti wamezidiana mbinu tu
 
Mbona CCM walikuwa na poll center yao pale mlimani city na hadi january akatangaza magufuli anaongoza kwa mbali sana ilihali tume ilikuwa haijatoa matokeo hata 20% ila hamkuhoji?? Hao wageni si consultants tu wa IT na ndio maana mlipofungua kesi wakakutwa hawana hatia yeyote sasa hizi tuhuma za kupika data umezitoa wapi?? Ina maana unajua sana hiyo kesi kuliko mahakama iliowaachia huru??
Unaweza ukawa na kosa na ukaachiwa huru kwa kuhonga pesa au ushahidi wa kukutia hatiani ukakosekana
 
Lowassa alishinda hilo hata CCM wanalifahamu watafute viongozi wake kina kinana hao ukae nao watakupa ukweli wa mambo usisubiri mitandaoni huku..... Ni wazi CCM ilichukiwa sana 2015 hata kampeni zilionyesha hivo na hata kura alizopata lowassa kwa mujibu wa NEC haikuwahi patikana tokea uhuru kwa wapinzani so hatuhitaji kudebate kufeli kwa CCM.

Kuhusu zanzibar mtego uliowekwa ni kumpa viti kibao baraza la wawakilishi alafu Urais wakamnyima so mtego ukawa akikubali matokeo ya wawakilishi itambidi akubali na ya Urais na akikataa ya Urais basi akatae na uwakilishi..... Mjanja sana kaepuka huo mtego akawaachia uchaguzi wenu na kipi kimebadilika zanzibat toka awaachie chama chenu?? Mmesolve kero za muungano? 2020 mtawaeleza nini wazenji??

CCM na kabila hawama tofauti wamezidiana mbinu tu
Lowassa hakushinda.
Hizi nyingine ni tabia tu za walioshindwa duniani kote, sema washindwaji hutofautiana tu busara zao ktk kuchagua aina ya siasa watakazofanya baada ya kushindwa kwenye kura.

Wengi wanatafuta faraja kwa kusingizia walishinda wameibiwa. Ila kwa Jecha ile ni faulo kubwa alipigwa Mpemba mweupe.
 
Lowassa alishinda hilo hata CCM wanalifahamu watafute viongozi wake kina kinana hao ukae nao watakupa ukweli wa mambo usisubiri mitandaoni huku..... Ni wazi CCM ilichukiwa sana 2015 hata kampeni zilionyesha hivo na hata kura alizopata lowassa kwa mujibu wa NEC haikuwahi patikana tokea uhuru kwa wapinzani so hatuhitaji kudebate kufeli kwa CCM.

Kuhusu zanzibar mtego uliowekwa ni kumpa viti kibao baraza la wawakilishi alafu Urais wakamnyima so mtego ukawa akikubali matokeo ya wawakilishi itambidi akubali na ya Urais na akikataa ya Urais basi akatae na uwakilishi..... Mjanja sana kaepuka huo mtego akawaachia uchaguzi wenu na kipi kimebadilika zanzibat toka awaachie chama chenu?? Mmesolve kero za muungano? 2020 mtawaeleza nini wazenji??

CCM na kabila hawama tofauti wamezidiana mbinu tu
Kosa la mpemba he didn't know how to play by the rules of the game.

Umewasikia kanisa katoliki DRC na Fyalu walisema nani kashinda kabla ya tume iliyopewa mamlaka kisheria kutangaza matokeo?

Fyalu alijua akijitangaza tu imekula kwake, angepigwa technical knock out(KO) kama alivyopigwa Maalim na Jecha.

Waliomshauri Maalim ajitangaze ndio walimuingiza chaka akatoa boko kwa CCM na Jecha wao.
Alichofanya Jecha kwenda kwenye kitabu cha sheria zao za uchaguzi kama vile refarii anaenda kurejea tukio kwenye kibanda cha VAR. Kwishaa kazi.

Kama CHADEMA ndio walimshauri vile Maalim walimponza sana. Alitoa uhalali wa kufanyiwa unyama kwa kutumia sheria halali kabisa.
 
Ndugu zitto junior kama unafuatilia utaona Maalim hakupata utetezi mkubwa sana wa mataifa ya magharibi sababu waliona kosa la kiufundi la Maalim kujitangaza, ni tofauti na tunavyoona DRC nsugu Fyalu anapiganiwa sana kwa sasa na mataifa ya Magharibi sababu bado hajavunja sheria hivyo hata kesi mahakamani anaweza shinda akatangazwa mshindi au uchaguzi ukarudiwa akashinda au ikilazimu nchi za magharibi zinaweza kuingia kinguvu DRC zikamsimika Fyalu.
 
Kosa la mpemba he didn't know how to play by the rules of the game.

Umewasikia kanisa katoliki DRC na Fyalu walisema nani kashinda kabla ya tume iliyopewa mamlaka kisheria kutangaza matokeo?

Fyalu alijua akijitangaza tu imekula kwake, angepigwa technical knock out(KO) kama alivyopigwa Maalim na Jecha.

Waliomshauri Maalim ajitangaze ndio walimuingiza chaka akatoa boko kwa CCM na Jecha wao.
Alichofanya Jecha kwenda kwenye kitabu cha sheria zao za uchaguzi kama vile refarii anaenda kurejea tukio kwenye kibanda cha VAR. Kwishaa kazi.

Kama CHADEMA ndio walimshauri vile Maalim walimponza sana. Alitoa uhalali wa kufanyiwa unyama kwa kutumia sheria halali kabisa.
Mkuu ndio maana nikauliza mbona January alimtangaza magufuli kushinda hata kabla hajatangazwa rasmi na NEC ila sikusikia uchaguzi bara ukifutwa huoni kuna double standard hapa

Pia katika sababu kubwa aliotoa Jecha kufuta uchaguzi alisema ni vurugu kwenye chumba cha kujumuishia matokeo na fomu za matokeo kufutika futika sasa hayo ya maalim kujitangaza mbona hakuyasema kma ndio sababu ya msingi? We umeyatoa wapi??

Dk slaa 2010 alijitangaza kushinda Urais na alisema ana ushahidi wote mbona hamkufuta matokeo?? Hata lowassa alidai ana 68% ya kura na alidemand atangazwe na NEC ila mbona uchaguzi hukufutwa?? 2005 maalim seif pia alijitangaza kashinda hata kabla ya uchaguzi mbona uchaguzi hukuftwa au unafutwa pale tu anaposhinda mpinzani? Tuwe objective mkuu
 
Unajua ni hivi huwezi kufanya kosa kisha mahakamani ukajitetea kwamba mbona fulani nae alifanya hajashitakiwa au mwaka juzi mbona nilifanya kosa kama hili lakini sikushitakiwa!

Maalimu alitakiwa awe smart enough kujua watu wanaweza kuona udhaifu wakakuacha tu kisha wakasubiri siku ambayo huo udhaifu wako ni mtaji mkubwa sana kwao.

Wanaweza kukuacha uzoee kufanya kosa hilo ili uje ukosee wakati muhimu kukuadhibu na wao wapate faida.

Kwani world bank walikuwa hawajui TZ tuna sheria ya kutoruhusu wanafunzi wanoshika ujauzito(mimba) kutoendelea na masomo? Mbona wametushikia bango sasa?

Kwani wadai wetu walikuwa hawawezi kuzuia mali zetu wakati wa Kikwete hadi waje wasubirie Bombardier?

Kwani EU walikuwa hawajui makahaba na mashoga walikuwa wanakamatwa wakati wa awamu zilizopita?

Kwani EU hawakusikia habari za uchaguzi wa 1995, na 2000 huko Zanzibar au hawakusikia habari za daktari na muandishi walio ng'olewa kucha? Kwanini washupalie sasa?

Kwani EU hawajasikia ya Uhamsho au yaliyowakuta akina Marehemu Mtikila, Lipumba na wengineo walivyo lazwa Jela wakati huo kama ilivyo kwa Mbowe sasa? Kwanini washikie bango sasa?

Kwani hawa watetezi wetu EU na USA hawakusikia habari ya Mwangosi ambae alifanyiwa vile hadharani mbele ya kamera lakini waje wamlilie Azory Gwanda ambae hatujui kapotea vipi. Huenda hata amepatwa na mkasa wa kawaida kama mwalimu Mcharo wa Same Kilimanjaro ambae alipotea 2006 kama Azory kumbe kazikwa hapo hapo kwao? Unajuaje kama Azory katekwa na mume wa mke wa mtu mwingine?

Ndio ujue waliona watatumia uzoefu wetu wa makosa haya wakati muafaka kama sasa tulipogoma EPA, Makinikia na sheria mpya za uvunaji rasilimali kama madini na gesi.

Na ndivyo washindani wa Maalimu walivyosubiria wakati muafaka kumuadhibu kupitia uzoefu wake wa makosa.
 
Back
Top Bottom