Kupima mimba kwa damu na maji

Ngozi Joram

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
659
543
Natumai hamjambo wanajukwaa wote. Jana nimesikia kituko nikacheka sana na sikuamini. Kuna mtu alitumia vidonge vya p2 ss amechelewa kuingia hedhi ss kuna siku akawa anajisikia kichwa kinauma akaenda hosp. Dr akamuuliza je u mjamzito mdada akakataa na alienda na mama yake so Dr akaona acha ampime kwanza mimba ati akatoa damu akaiweka kwenye kifaa fulani kina maji kisha akaangalia akasema hana mimba tupime malaria.

SWALI:: Je hyo ni teknolojia gani kupima ujauzito kwa kutumia damu na maji???
 
Huyo mtu ni wewe
 
Hospitalini ujauzito unaweza kupimwa kupitia:
1. Mkojo
2. Damu

Zamani ulikuwa
-Mkunga anamminya tumbo nakulikagua kwa kulishika + dalili za kukosa siku zako, kichefuchefu na mabadiliko ya kitabia.
 
Ndio iko sawa kabisa...... KUNA KITU KINAITWA "UPT" yaani URINE FOR PREGNANCY TEST hapo unatumika mkojo na maji lakini yale ni maji maalumu... Huwa kuna hormones maalumu inayoitwa HUMAN CHORIONIC GONADOTROPHIN inaangaliwa ambayo Uwepo wake kwenye mkojo ni kiashiria cha mimba.... NB, kupima cha UPT kiko effective baada ya wiki mbili

Pia mimba huwa inaweza kupimwa katika DAMU, Kinacho angaliwa ni hormone hiyohiyo inayoitwa HUMAN CHORIONIC GONADOTROPHIN
 
Back
Top Bottom