Kupima DNA (Kwa anaetaka kujua)

Habari zenu wana jf.
Kuna nyuzi nyingi humu zikieleza juu ya hatua ya kupima DNA hata mimi nilikuwa sijuagi ni taratibu zipi zinahusika juu ya kupima DNA .
Leo naomba niwaeleze hatua nilizopitia mpaka kupima DNA
In short nilishawahi kudate na msichana fulani then tukaachana kwa sababu ambazo siwezi kuziandika humu.Mbaya zaidi huyo dada tulipoteana muda mrefu nimeshangazwa kuonana nae fb akanitumia sms kuwa eti mimi nilimuacha na mimba na kwa sasa ana mtoto wa miaka 2 kasoro hivyo nikaona kuna dalili ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
OK NGOJA NIRUDI KWENYE MADA
In short nilienda ofisi ya ustawi wa jamii nikajieleza wakanipa appointment ya kuja na mama wa mtoto then wakatusikiliza kwa pamoja mwisho tukatengenezewa barua ya kwenda kupokelewa ofisi ya mkemia mkuu then tukatengenezewa bill ya malipo kupitia Control number nikaomba zichukuliwe sample za watu wawili ambapo hapo ni mimi na mtoto jumla ni laki 2 kwa vile kila mmoja ni laki 1.MATOKEO NI BAADA YA MWEZI YAKATOKA NI ZERO.
Kama kuna swali nakaribisha
tuko tofauti sana,mm mwanamke nikishadate nae akasema ana mimba yangu hata sitamhoj Mara mbili mbili,sitajihangaisha hata kutaka vipimo vya DNA,ninamchukua mtoto na nitaanza Mara moja kuwajibika kwake kama baba yake,narudia tena tuko tofauti sana,
 
Wameniambia hivyo ila nikawauliza hapa nimekuja kwa sababu kuna doubting kati ya baba na mtoto mama hana doubt wamenielewa kupima mbili tu yaani mtoto na baba.Mama imewekwa kimaslahi zaidi ya serikali(ku rise maduhuli)au ikiwa kuna ambiguity situation.
Unafunga kamba, wengine si mara moja kupima DNA lazima wote watatu mnapanua midomo wanachukua sample
 
Sasa nidanganye ili nipate nini waliniletea hiyo hoja ya kupima na mama mtoto nikawauliza kwani mama ana doubt juu ya huyu mtoto? Mimi ndiye na doubt na mtoto acha kukalili mkuu
Unafunga kamba, wengine si mara moja kupima DNA lazima wote watatu mnapanua midomo wanachukua sample
 
Kweli tupo tofauti hadi kiuchumia na moyo mbaya zaidi kuwa nahudumia mtoto ambae nina mashaka nae kunaweza kunifanya nisiwe na amani kwenye kuhudumia kwangu
tuko tofauti sana,mm mwanamke nikishadate nae akasema ana mimba yangu hata sitamhoj Mara mbili mbili,sitajihangaisha hata kutaka vipimo vya DNA,ninamchukua mtoto na nitaanza Mara moja kuwajibika kwake kama baba yake,narudia tena tuko tofauti sana,
 
Sasa nidanganye ili nipate nini waliniletea hiyo hoja ya kupima na mama mtoto nikawauliza kwani mama ana doubt juu ya huyu mtoto? Mimi ndiye na doubt na mtoto acha kukalili mkuu
Inaonesha wewe ni mteja wa katoto kazuri yaani hujawahi kula K. Ni sheria kwa DNA na malipo siyo Laki mbili
 
Natamani ni upload payment Bill niliyotengenezewa uone watatu ilikuwa tulipe laki 3 anyway waweza chagua kukubari au kukataa
Inaonesha wewe ni mteja wa katoto kazuri yaani hujawahi kula K. Ni sheria kwa DNA na malipo siyo Laki mbili
 
Kapime uwe na uhakika maisha yenyewe yapo wapi unapasuka kichwa kisa kuna li demu limekuona we bwege wa kusingiziwa mtoto.
Mimi mwenyew nina kesi inayofanana na yako, nmekazia
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom