Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 37,240
- 79,029
Maskini, Kama namuona vileKatoa mi macho tu zoezi lake limefeli ni wale wadada wenye habari nyingi kuliko ITV au BBC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maskini, Kama namuona vileKatoa mi macho tu zoezi lake limefeli ni wale wadada wenye habari nyingi kuliko ITV au BBC
Kwa hayo Matokeo umefeli kwakweli hauna akili
tuko tofauti sana,mm mwanamke nikishadate nae akasema ana mimba yangu hata sitamhoj Mara mbili mbili,sitajihangaisha hata kutaka vipimo vya DNA,ninamchukua mtoto na nitaanza Mara moja kuwajibika kwake kama baba yake,narudia tena tuko tofauti sana,Habari zenu wana jf.
Kuna nyuzi nyingi humu zikieleza juu ya hatua ya kupima DNA hata mimi nilikuwa sijuagi ni taratibu zipi zinahusika juu ya kupima DNA .
Leo naomba niwaeleze hatua nilizopitia mpaka kupima DNA
In short nilishawahi kudate na msichana fulani then tukaachana kwa sababu ambazo siwezi kuziandika humu.Mbaya zaidi huyo dada tulipoteana muda mrefu nimeshangazwa kuonana nae fb akanitumia sms kuwa eti mimi nilimuacha na mimba na kwa sasa ana mtoto wa miaka 2 kasoro hivyo nikaona kuna dalili ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
OK NGOJA NIRUDI KWENYE MADA
In short nilienda ofisi ya ustawi wa jamii nikajieleza wakanipa appointment ya kuja na mama wa mtoto then wakatusikiliza kwa pamoja mwisho tukatengenezewa barua ya kwenda kupokelewa ofisi ya mkemia mkuu then tukatengenezewa bill ya malipo kupitia Control number nikaomba zichukuliwe sample za watu wawili ambapo hapo ni mimi na mtoto jumla ni laki 2 kwa vile kila mmoja ni laki 1.MATOKEO NI BAADA YA MWEZI YAKATOKA NI ZERO.
Kama kuna swali nakaribisha
Unafunga kamba, wengine si mara moja kupima DNA lazima wote watatu mnapanua midomo wanachukua sampleWameniambia hivyo ila nikawauliza hapa nimekuja kwa sababu kuna doubting kati ya baba na mtoto mama hana doubt wamenielewa kupima mbili tu yaani mtoto na baba.Mama imewekwa kimaslahi zaidi ya serikali(ku rise maduhuli)au ikiwa kuna ambiguity situation.
Unafunga kamba, wengine si mara moja kupima DNA lazima wote watatu mnapanua midomo wanachukua sample
tuko tofauti sana,mm mwanamke nikishadate nae akasema ana mimba yangu hata sitamhoj Mara mbili mbili,sitajihangaisha hata kutaka vipimo vya DNA,ninamchukua mtoto na nitaanza Mara moja kuwajibika kwake kama baba yake,narudia tena tuko tofauti sana,
Inaonesha wewe ni mteja wa katoto kazuri yaani hujawahi kula K. Ni sheria kwa DNA na malipo siyo Laki mbiliSasa nidanganye ili nipate nini waliniletea hiyo hoja ya kupima na mama mtoto nikawauliza kwani mama ana doubt juu ya huyu mtoto? Mimi ndiye na doubt na mtoto acha kukalili mkuu
Wacha we 😳😳😳😳Inaonesha wewe ni mteja wa katoto kazuri yaani hujawahi kula K. Ni sheria kwa DNA na malipo siyo Laki mbili
Inaonesha wewe ni mteja wa katoto kazuri yaani hujawahi kula K. Ni sheria kwa DNA na malipo siyo Laki mbili
Walichukua sample gani kwako na mtoto?Ndiyo mzee
Maelezo yake yana mantiki, shida yake ni kujua DNA yake na mtoto zina match?Unafunga kamba, wengine si mara moja kupima DNA lazima wote watatu mnapanua midomo wanachukua sample
Wewe unaleta ubishi lakini huleti maelezo kunyooshaInaonesha wewe ni mteja wa katoto kazuri yaani hujawahi kula K. Ni sheria kwa DNA na malipo siyo Laki mbili
Yale yale anabahatisha kwa aliobanjuka nao si ajabu kuna wenzio walishapima tayariKatoa mi macho tu zoezi lake limefeli ni wale wadada wenye habari nyingi kuliko ITV