Kupigwa au kupigana katika mahusiano

Kuna jamaa alikuwaga ana mfukuzia demu wangu chuo kupindi hicho nipo second year.. Demu mwenyewe ndo aliekuja kuniambia kwamba kuna jamaa lina msumbua lina mtongoza lakini yeye halitaki na namba za huyo jamaa akanipa.. Aisee nilichukia kinoma nikampigia jamaa huku nimewaka hasira na matusi kibao na nika muahidi jamaa tukikutana lazima nimtoe meno yote ya mbele demu nae akaniomba simu amtukane jamaa nikampa... dem akamwambia jamaa akome kumfatilia na huyu ndo Mme wangu (mimi)... Jamaa akawa mpole tu... Baada ya kama wiki hiv Dem akaniomba hela ya saloon nikamwambia sina.. Huwezi amini demu alimpost yule jamaa nilie mpiga mkwara kwenye profile yake ya whatsupp na akaandika" nakupenda mume wangu na mungu akulinde na mabaya ya dunia" nikaogopa hata kumpigia demu kumuuliza kwanini kaamua kufanya vile maana nilihisi atampa jamaa namba zangu wanitukane daaah nilitulia kimya na nikaapa sitakuja kugombana na mtu eti kisa demu...
Mkuu huyo demu wako alikuwa la pili B bila shaka..
 
Lakini patience mkuu ukimtia(sio maana ya tia kimuktadha) mumeo kortini haki yako ya unyumba utaipataje?mumeo ang'atwe na mbu mahabusu badala ya kukumbatiana kama kumbikumbi?.
Mkuu Hyungnim , kuna wanaume wanahisi bila kumpiga mke basi uanaume wao haujakamilika( Na hata kupitia comments za huu uzi tunaona)
Sisi binadamu si wakamilifu,kila mmoja ana mapungufu yake,japo hapa wanawake tunaonekana wakorofi,tuna midomo,ila upande wa pili nao una mapungufu kedekede ila ya kwao hawayaoni.
Inapotokea hali ya kutoelewana kwa wapenzi au wanandoa wanaume wanakuwa wepesi kunyanyua mkono kumpiga mwenzake,na wengine wanapigwa mpaka wanajeruhiwa,na wengine mpaka kukatishwa uhai.
Wanaume nao wanatukosea sana,je wao wapigwe na nani?

Mwanaume akikupiga mara moja ukanyamaza,atarudia na ya pili na ya tatu na unakuwa ndio utamaduni wake. Akipata stress zake huko anakuja nyumbani anatafuta sababu ndogo tu ya ugomvi anazimalizia kwako.

Na mwanamke ukipigwa mara ya kwanza ukanyamaza,mara ya pili na tatu unakuwa sugu...
Unaona ndivyo wanaume wote walivyo na ndivyo maisha yalivyo..

Mimi siruhusu kabisa hata mtu anifinye,seuze kunipiga. Mimi ni mtu mzima,kama kuna kitu ninakosea mwanaume aniambie,tunayazungumza nina apologize yanaisha.
Mambo ya kupigana, aende kwenye masumbwi..
 
Kwa hawa madada wa Dar kwenye mahusiano bila tumakofi tuwili tutatu mambo hayaendi aisee!
Piga mabao ya uso kama onyo,angalia usimpige mtama hatari akaangukia kisogo ikawa msala wewe na Kamanda Sirro
Kupiga kuna mnyoosha hawa sista duu pasua kichwa
 
Mwanaume hakosei wewe.

Toka lini mkuu akakosea????

Nyie ndio hamjui maana ya Mwanamme na mwanamke zaidi ya kuendekeza hisia
We endelea kubaki hapo hapo na mawazo mgando. Lait ungejua mwanaume bila mwanamke si lolote usingekaa ukasema mwanaume hakosei mnakosea na kukosolewa pia inatakiwa mkosolewe.
Inatakiwa ujue hakuna aliyekamilika.
 
Nitajitahidi saana nisinyanyue mkono wangu kumpiga mwanamke.
Ila mdogo wangu ameyala makofi yangu saana.
 
Mkuu Hyungnim , kuna wanaume wanahisi bila kumpiga mke basi uanaume wao haujakamilika( Na hata kupitia comments za huu uzi tunaona)
Sisi binadamu si wakamilifu,kila mmoja ana mapungufu yake,japo hapa wanawake tunaonekana wakorofi,tuna midomo,ila upande wa pili nao una mapungufu kedekede ila ya kwao hawayaoni.
Inapotokea hali ya kutoelewana kwa wapenzi au wanandoa wanaume wanakuwa wepesi kunyanyua mkono kumpiga mwenzake,na wengine wanapigwa mpaka wanajeruhiwa,na wengine mpaka kukatishwa uhai.
Wanaume nao wanatukosea sana,je wao wapigwe na nani?

Mwanaume akikupiga mara moja ukanyamaza,atarudia na ya pili na ya tatu na unakuwa ndio utamaduni wake. Akipata stress zake huko anakuja nyumbani anatafuta sababu ndogo tu ya ugomvi anazimalizia kwako.

Na mwanamke ukipigwa mara ya kwanza ukanyamaza,mara ya pili na tatu unakuwa sugu...
Unaona ndivyo wanaume wote walivyo na ndivyo maisha yalivyo..

Mimi siruhusu kabisa hata mtu anifinye,seuze kunipiga. Mimi ni mtu mzima,kama kuna kitu ninakosea mwanaume aniambie,tunayazungumza nina apologize yanaisha.
Mambo ya kupigana, aende kwenye masumbwi..
Patience123 mkuu nakubaliana na yote uliyonena!Binafsi siwezi kabisa kusukumizia masumbwi mwanamke!.Mimi naamini sana ktk daiolojia,kati ya mume na mke.Sikatai kuna wakati wanawake huudhi mno huku jeuri zikiwa pomoni!"Muone huko(huku akikutikisia makalio na kuibetua midomo yake)...we mwanaume au janaume...toa hapa hela ya LUKU mie nitazame bongo muvi!Mwanaume hata shughuli yako hainichoshi....kwa mwendo huo usipotumia busara lazima akachukue PF3 polisi!Nikigundua kipusa wangu amechafukwa,najishusha kdg na kumwacha azoze.Akitulia namwita nakaa naye sehemu tulivu kisha namueleza kosa lake kwa lugha laini!Akipaniki basi atakuwa na maruhani.Njia hiyo ni murua kwa wanawake wanaojitambua sio wale wa kwenye vigodoro.Na mkimaliza hapo mnapeana penzi safi!Kuliko kudundana,kuumuana nyuso na kudhalilishana....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom