Elections 2010 Kupigia Prof. Lipumba ni kutawanya kura za Upinzani

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,049
79,059
Ewe mwana Mageuzi wa kweli katika kuleta Ukombozi wa nchi hii toka serikali ya kidhalimu ya CCM tafadhali saidia ushindi kwa CHADEMA! Sio siri na asiyeona na aone Dr Slaa ndo anakubalika kwa sasa na kumpigia Prof. Lipumba ni kugawa kura za Upinzani! Nianaamini ndugu zangu wana CUF ni wana mageuzi wa kweli na sio wana itikadi; hivyo basi tunawaomba mumuunge mkono Dr. Wilbrod Slaa kuwa Rais wa Jamhuri hii kwa ustawi wa Watanzania wote maana hata sera za hawa wagombea wawili wa Upinzani zinashaabiana Dr Slaa na Maalim Seif watatuvusha daraja kuelekea neema kwa maisha bora ya familia zetu!

Hima jamani...shimee...

Mtaarifu na jirani yako
 
Back
Top Bottom